Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Ubaguzi huu utaisha lini? Lowassa ni nyani?

Alikuwa wapi?
Je kahama kwa sababu zipi?
Je anauzalendo na chama au ana malengo yake. Asipo pata anacho kitafuta hata hama tena hayo ni mambo ya kutafakali( ukifungua mlango/dirisha si hewa safi tu itakayo ingia hata vumbi litaingia).
 
kama kuna hata mvuta bangi tunajua atawezesha kuiondoa ccm tutamtumia na kwetu atakuwa ni mtu wa maana sana .hata huyo chenge ikiwa tutajiridhisha kwamba anaweza kuiondoa ccm madarakani tutamtumia tu. shida yetu sisi ni ccm kuondoka hayo mengine baadaye
 
Taarifa hizi hazionekani kuwa na uthibitisho, na kama upo basi uanikwe hapa.
Vinginevyo hii ni habari za upotoshaji
 
Nategemea kusoma comment nyingi za kumsifia LOWASSA kutoka kwa vijana wa CHADEMA.
 
Tukumbuke na kujitafutia ridhiki ya kila siku... Hawa jamaa wanaingiza siku sisi tunabaki kuongelea mambo ambayo yanafaida kwa wachache.. Chadema inaweza kushinda urais bila lowassa na pia wanaweza kushindwa hata wakiwa na lowassa na magufuri Wote wawe Chadema... Maamuzi sahihi yenye kuleta mafanikio ktk taifa letu yapo mikononi mwetu...
 
Khaa.. yan ule msemo 'siasa ni mchezo mchafu'..ndo unazd kujdhhrsha kabsaa, Mi cdhan km kuna umuhmu wowote wa chadema kumpokea lowasa kwny chama chao

Pia hii inapelekea kuona kwamba hakuna chama chenye malengo ya kusaidia taifa zaid ya uongoz njaa

Sisi wapga kura 2we makn ktk hili
 
Tuweke ushabiki na unazi pembeni. Kama Lowassa atapokelewa CHADEMA, story ya ''CCM ni chama cha mafisadi'' itazikwa rasmi na kimsingi CCM itarudisha hilo dongo kwa CHADEMA wakati wa uchaguzi na kushinda kiulaini.

Pesa inapofusha. MBOWE kishavuta bil.10.toka kwa Lowassa.
 
CHADEMA kwisha habari yake. Fisadi Lowassa rasmi CHADEMA kutafuta urais. Slaa kaa pembeni mpishe Lowassa.
 
aje tu awe mwanachama wa kawaida tupigwe mabomu wote tubambikiwe kesi za ugaidi wote sio kuja kupanda ngazi kwa damu za watu zilizopotea kwa ajili ya chadema mwenyekiti umechemka

Afanyeje sasa wakati bil.10 zimewekwa mbele yake? Na Slaa haziivi, Mtei amwambia SLAA kama vipi asepe awaachie Chadema yao, kilimanjaro yao na Lowassa wao.
 
Eti jamani watu walikuwa wameandaa viwanja kutegemea neema ya uchaguzi wansubiri wimbi la utajirisho linaelekea wapi, itakuwaje hela za kampeni tuwe tunaangalia wabunge ambao wamekuja na millioni moja tu sisi tulisubiri 200
 
Back
Top Bottom