Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Mbowe amkaribisha rasmi Lowassa CHADEMA

Jamani kuna uvumi ulioenea kwenye mitandao kuwa Lowasa akija Ukawa anapewa nafasi ya kugombea uraisi kupitia muungano huo. Sasa najiuliza, hivi Ukawa wamejiandaa kweli kushika dola ikitokea wameshika? Maana kama wanategemea kukodi mtu kutoka ccm ndo aje apeperushe bendera manake Ukawa hawana uwezo wa kushika dola. Asanteni
Well said mkuu. Ni ukweli usio fichika, ukawa hawana mgombea wa maana ambaye tunaweza kumkabidhi nchi. Ni janga tupu, hawajajipanga. Wanategemea kukopa kutoka ccm, na kujitapa kote wanavyojitapaga, ni kichekesho. Sikutegemea ndio maana Prof Lipumba aliona upuuzi akaamua kubwaga manyanga, tupilia kule na kuendelea na hamsini zake.
 
Ni leo nimepata kuona habari mitandaoni na magazetini kuwa Mh mbowe katoa kauli ya kumkaribisha Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa kujiunga na chama chetu pendwa chadema.
Awalli sikutaka kuamini na bado sijaamini kuhusu hizi fununu,na kama ni kweli, namtaka Mh Aikael Freeman mbowe atoe maelezo fasaha amemkaribisha lowasa aje kufanya nini? Sote tunamjua Lowasa na tuhuma nzito za kifisadi, tuna mfahamu vizuri Lowasa na kundi lake la mbwa mwizi linalomzunguka.
B inafsi simkatai lowasa kama binadamu bali napinga tabia yake ya uwizi rushwa, uroho na ubinafsi.
Natahadharisha kusema kuwa CHADEMA tunaipenda toka moyoni ndio maana hatutingishiki na sunami za ccm kwa kuwa tunaamini Chadema ni chama safi na chenye uhakika wa kutuletea mabadiriko chanya kwa taifa. Kwa nilivyoona kauli hizi ni dhahiri chama kinaenda kuanguka kwa kuwakatisha tamaa wananchi.
Lowasa ni nani ktk chadema, chama kimeimarika vya kutosha bila uwepo wa lowasa, nini mnachotegemea kwa Lowasa kwa sasa, ccm imemuona hafai ikamtema wewe unamkaribisha bila hata aibu, unataka kutuaminisha kuwa nyie ni maswahaba? Kama ndivyo iweje ccm tuinyoshee mkono?

Mh Mbowe umetukera sana sinaamani kabisa hadi uje utupe ufafanuzi zaidi nini maana yake.
 
Halleluya Kwani kuchukuwa nchi lazima kuwe na maandalizi? Chuo gani kinachofundisha hayo maandaliazi ya kuongoza nchi, unavyofikiria wewe kuongoza nchi ni kama kufanya maandalizi ya harusi? Hivi hata wakoloni walimwambia Nyerere akafanye maandalizi ndio wampe nchi? Grow up Man
 
Manabii walishasema...upinzani wa kweli utatokea ndani ya CCM...
2010 CCM ilikuwa ipasuke (Inasemekana kuwa CCM Wazalendo walijipanga na kufungua chama kipya-CCJ na kuachana na CCM Mafisadi ).
2015 upepo umegeuka...tunashuhudia CCM Mafisadi kuzidiwa nguvu na kufungasha kuelekea CHADEMA na kuacha CCM Wazalendo ikipambana kurudisha chama kwenye roots..Jinsi mambo yanavyoenda, inaonekana kuwa CHADEMA itageuka kuwa CCM B iliyotabiriwa kwa maana ya kwamba mafisadi waliotoka CCM watakuwa na nguvu na watakuwa wana run show...
 
Mi nafikiri awepo atubu na asipewe nyadhifa kwa kipindi cha miaka 10 kwanza.
 
Well said mkuu. Ni ukweli usio fichika, ukawa hawana mgombea wa maana ambaye tunaweza kumkabidhi nchi. Ni janga tupu, hawajajipanga. Wanategemea kukopa kutoka ccm, na kujitapa kote wanavyojitapaga, ni kichekesho. Sikutegemea ndio maana Prof Lipumba aliona upuuzi akaamua kubwaga manyanga, tupilia kule na kuendelea na hamsini zake.

Mtaalamu wa uchumi Prof.Lipumba kasalimu amri bora aondoke tu.
 
Ni leo nimepata kuona habari mitandaoni na magazetini kuwa Mh mbowe katoa kauli ya kumkaribisha Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa kujiunga na chama chetu pendwa chadema.
Awalli sikutaka kuamini na bado sijaamini kuhusu hizi fununu,na kama ni kweli, namtaka Mh Aikael Freeman mbowe atoe maelezo fasaha amemkaribisha lowasa aje kufanya nini? Sote tunamjua Lowasa na tuhuma nzito za kifisadi, tuna mfahamu vizuri Lowasa na kundi lake la mbwa mwizi linalomzunguka.
B inafsi simkatai lowasa kama binadamu bali napinga tabia yake ya uwizi rushwa, uroho na ubinafsi.
Natahadharisha kusema kuwa CHADEMA tunaipenda toka moyoni ndio maana hatutingishiki na sunami za ccm kwa kuwa tunaamini Chadema ni chama safi na chenye uhakika wa kutuletea mabadtiko chanya kwa taifa. Kwa nilivyoona kauli hizi ni dhahiri chama kinaenda kuanguka kwa kuwakatisha tamaa wananchi.
Lowasa ni nani ktk chadema, cjama kimeimarika vya kutosha nila uwepo wa lowasa, nini mnachotegemea kwa Lowasa kwa sasa, ccm imemuona hafai ikamtema wewe unamkaribisha bila hata aibu, unataka kutuaminisha kuwa nyie ni maswahaba? Kama ndivyo iweje ccm tuinyoshee mkono?

Mh Mbowe umetukera sana sinaamani kabisa hadi uje utupe ufafanuzi zaidi nini maana yake.
We naona ni mgeni katika siasa zetu hizi. Unataka kusema hujamwelewa Mbowe mpaka leo hii? ???
Mbowe na chama chake wapo kimaslahi zaidi, kibiashara zaidi nashangaa eti unasema unawategemea. Kweli kabisa chadema waende ikulu? ?? Mara mia CUF au basi ikishindikana basi NCCR. Unategemea saccos hii ije ikusaidie nini katika maisha yako au nchi. Wajinga ndio waliwao.kalaga baho! Endelea kuwasubiri labda mpaka bwana Yesu ashuke
 
Ndio maana namtaka aje atufafanulie vizuri, kadiri anavochelewa tunazidi kufa moyo huku.
 
Hivi hii nchi fisadi ni lowasa tuu? Kipindi cha rada lowassa alikuwa waziri mkuu? kashfa ya buzwagi llowassa alihusika? coral mine ya mbeya lowassa alihusika? mabehew feki/chakavu lowassa alihusika? kuna kashfa nyingi za kifisadi zenye kuhusisha watu wengi! kwanini kwake ionekane kama ndio kaanza? there is a reason why people don't stand where they are!
 
lowasa hasafishiki hata kwa JIk....
Anakaribishwa kuwa mwanachama lakini si kuongoza nchi, unajua ukiwa muislamu ukaingia ukristo kubali kuwa hutakuwa mchungaji au padre siku ya kuingia na kbatizwa pia ukiwa mkiristo ukajiunga na uislamu yaani ukaslim suitegemee kuwa utakuwa Shekhe mara ukiingia lazima ichukue muda na ndicho tunachokitaka kwa Lowasa. Viva Ukawa Viva Tanzania tunayoitaka
 
Ndio maana namtaka aje atufafanulie vizuri, kadiri anavochelewa tunazidi kufa moyo huku.
 
Ni leo nimepata kuona habari mitandaoni na magazetini kuwa Mh mbowe katoa kauli ya kumkaribisha Aliyekuwa waziri mkuu wa zamani Edward Lowada kujiunga na chama chetu pendwa chadema.

Back
Top Bottom