Mbowe alisema Atamshitaki Paul Makonda Binafsi na si Serikali
Nilicheka sana nikajua ends Mh. Mbowe anadhani Masuala ya kisheria ni mepesi mepesi Kama vile kuuza Madawa yake ya kulevya!
Kwani nani kakwambia kwamba hashitakiwi? Kwani akina Zombe walishitakiwa binafsi, unataka kusema makosa yao hayakutokea wakati wanatekeleza majukumu yao ya kazi? Vitu vingine ni kutumia common sense tu...
Hapa ni Sheria sio common sense!
Kesi ya kina Zombe ni ya Jinai na Siku zote mlalamikaji kwny Jinai ni Jamhuri sio Individual!
Kesi ya ku challenge Mamlaka ya Mkuu wa Mkoa ni Kesi binafsi dhidi ya Paulo?
Sheria zote zinatumia common sense, kwa taarifa yako. Kwenda kutaja watu kwenye media kama wauza unga wakati huna ushahidi ndio unasema "Kesi ya ku-challenge mamlaka ya mkuu wa Mkoa"? Yaani Mkuu wa Mkoa pamoja na mambo mengine, amepewa na mamlaka ya kudhalilisha watu hata bila sababu, na hata pasipo na ushahidi? You are not a serious mind, are you?
Usihamishe Magoli!
Umefananisha Mbowe kumshtaki Makonda sawa na Jamhuri kumshtaki Zombe!
Moja ya Malalamiko ya Mbowe Mahakamani ni ku challenge Mamlaka ya RCs au hufuatiliii hata kujua Mwnykt wako analalamikia kipi Mahakamani Kazi kuja kutetea tu!
Umeonesha 'weledi' wa kutojua Sheria kwa kiwango kisichomithilika!
Kumwita runingani? Hebu jitenge na upunguani wewe DadaAliitwa akakaidi.
Ila Chadema wanaruhusiwa kutangaza hadharani majina ya mafisadi Papa, wakina Lowasa
Aliitwa bila kufuata utaratibu wa kisheria ndo maana hakwenda huko tumeshatoka huko mwambieni Makonda anahitaji mahakamani ijumaaAliitwa akakaidi.
Aliitwa bila kufuata utaratibu wa kisheria ndo maana hakwenda huko tumeshatoka huko mwambieni Makonda anahitaji mahakamani ijumaa
Safi kabisa, hao nao wanashitakiwa kwa kutumia vibaya madaraka waliyokasimishwa na katiba. ila tatizo lako unadhani anayeweza kushitaki ni serikali tu. hapana. kama wamevunja sheria wanaweza kushitakiwa na yeyote kwa mujibu wa sheria hiyo - kama sheria inaweka wigo, basi wigo utazingatiwa.Mkuu;
Hao walishitakiwa na serikali ambapo kimantiki, Rais wa Tanzania aliwashitaki kwa kutumia vibaya madaraka aliyowakasimisha.
Mpaka kufikia hapo ndio kila mtanzania atajua hakukuwa na mpambano wa madawa ya kulevya bali ni siasa za kitoto kwa mujibu wa maelezo ya post namba moja. Naomba nikuulize kama sio kuona watanzania ni watoto, miaka nenda rudi baadhi ya wananchi wa nchi hii wameendelea na wataendelea kuvuta bangi, ni nadra sana kukutana na watu walioharibikiwa kwa uvutaji wa bangi. Sisi tulitarajia tuone vita dhidi ya madawa ya kulevya aina ya unga kwani ndio tunaona madhara yake dhahiri, badala yake sasa hivi kila siku tuonana askari wakiwa kwenye maigizo ya kukamata mashamba ya bangi ambazo zilikuwa ni sehemu ya wao kupatia rushwa. Hebu tuambie ni tani ngapi za unga zimekamatwa zaidi ya kuona kuchafuana majina bila tija yoyote? Muanzisha vita vya madawa ya kulevya kajikuta yuko kwenye kundi hilo hilo la madawa ya kulevya ila kinachomlinda ni kwamba anaweza kuwatuma polisi wakadhalilishe wanasiasa wa upinzani. Hakuna vita ya madawa ya kulevya bali watu wameamua kukamata bangi ili wapate kick ya kisiasa.
Pia na Harry Kitlya walikuwa wanatekeleza majukumu yao ya kiserikali. Ni nini kiliwapata??Tukumbushe ya Basir Mramba na Daniel Yonah