Kwachirakido
New Member
- Nov 20, 2010
- 4
- 0
nchambi ndio anayeteua au kuchagua rais????
kwa hiyo wewe ni mtabiri wa nyota na umerithi mikoba ya shehe yahaya hussein???
mimi rais wa tano sikubaliani na upotoshaji wako,tusubiri uchaguzi mkuu mwaka 2015 ndio utakaotupatia rais awe anatoka cck,adc,ccm,narea au hata mgombea binafsi alimradi awe mtanzania mzalendo.
jamii forum mara nyingi tumejikita kufanya siasa za kuunga mkono hata upuuzi ilimradi msemaji ni wa chadema kwa mtindo huu hatutafika hakuna uzalend