Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

naipenda CHADEMA ila kwa hili labda si kauli ya Mbowe mwenyewe, let's hear from his own mouth...
 
Napinga kwa nguvu zangu zote tabia hii chafu ya kutukana.unapaswa kujiuliza wewe umeifanyia nini tanzania sio kulalamika tu hapa km unavuliwa chupi.

mimi rais wa tano natoa onyo kali kwa wote wale wenye tabia km ya kwako.

...Wewe ni Rais wa wajinga na wapuuzi wenzio.Neno DHAIFU si tusi ila ni sifa ya kuwa legelege au kuto kuwa na nguvu ya kufanya jambo ambayo sifa hiyo JK anayo. Acha umaskini wa kukariri mambo jaribu kuwa makini kidogo.
 
ameondoa au ameongeza? We umeelewa nini hapo kuhusu gari? Hayo ya nyumba na posho, mlinzi sijui nini kama hadai kwa7bu za kiuchumi hapa anamwambia nani? Ameulizwa? Kwanini asielezee tu gari ambalo wapinzani wake hawaishi kumsema? Haya ndiyo yanayonifanya nichukie siasa za kibongo, unafiki unafiki sanaa!!

..*Hiyo chuki kwasababu akili yako ni duni..Kalale
 
hajakanusha aliyosema yule mbunge kuhusu v8 yake so kumbe ni ukweli? sa mbona aliirudisha mara ya kwanza afu akaichukua tena?
 
Wakuu Nawasalimu..Naandika haya nikiwa Mpenzi na Mkereketwa Mkubwa wa CDM..Nilishtuka kidogo kusikia kuwa Mwenyekiti wangu wa CDM,Mh Freeman Mbowe amekubali kuchukua gari alilowahi kulikataa na kulirudisha mwaka jana wakati wa Bunge lililopita.Binafsi nilifuatilia lile bunge na nilimuona jinsi alivyokuwa anaongea kwa Uchungu Mkubwa kuhusu matumizi ya serikali na yeye mwenyewe akalirudisha lile gari..Lakini Nimeshangazwa SANA na Habari niliyosikia kuwa Mh Mbowe amechukua gari lingine ilihali alilikataa na Kupinga kulitumia mwanzoni.Binafsi nikiwa kama Mwana CHADEMA Na Mwenye Matarajio Makubwa na Chama Changu,KAMA NI KWELI Mh Mbowe amefanya hili basi nafikiri atakuwa ametulet down wengi kwani Itakuwa ni Unafiki Mkubwa..NASEMA HAYA KWA UPENDO WA CHAMA CHANGU CHADEMA
 
umemsikia Anna KIlango anasema msitu wa shengena unavamiwaa na misitu inachomwa sindano za sumu inakauka na wana CCM wanavuna dhahabu mito minne yote imekauka embu kamuulize Raisi Kikwete anayajua hayo achana na gari
 
Join Date : 19th May 2012
Posts : 5
Rep Power : 307
Likes Received0
Likes Given11
Nikutaje mods waunganishe ban yako?​
 
Mkuu kiutaratibu Mh Mbowe kama kiongozi wa upinzani anastahili kupewa gari ya kutembelea na mafao mengine. alipopewa hili VX V8 kwa uchungu akawaambia bunge chini ya Mama Mh sana Anna Makinda (CCM) wambadilishie wampe gari ya bei nafuu. wakakataa tena kwa kejeli hatuna gari nyingine kama unataka acha. unataka mheshimiwa Mbowe aludie ile range yake wakati cheo chake kinamruhusu kupata hayo mafao.huku akiacha CCM na serikali yake wakiponda maisha na VX V8. yeye alitaka kuonyesha uzalendo ambao wenzetu wakaona atapata point ya kiasiasa wakakataa sasa afanye nini. Tesea tu hilo VX V8 Mh Mbowe.
 
Wakuu Nawasalimu..Naandika haya nikiwa Mpenzi na Mkereketwa Mkubwa wa CDM..Nilishtuka kidogo kusikia kuwa Mwenyekiti wangu wa CDM,Mh Freeman Mbowe amekubali kuchukua gari alilowahi kulikataa na kulirudisha mwaka jana wakati wa Bunge lililopita.Binafsi nilifuatilia lile bunge na nilimuona jinsi alivyokuwa anaongea kwa Uchungu Mkubwa kuhusu matumizi ya serikali na yeye mwenyewe akalirudisha lile gari..Lakini Nimeshangazwa SANA na Habari niliyosikia kuwa Mh Mbowe amechukua gari lingine ilihali alilikataa na Kupinga kulitumia mwanzoni.Binafsi nikiwa kama Mwana CHADEMA Na Mwenye Matarajio Makubwa na Chama Changu,KAMA NI KWELI Mh Mbowe amefanya hili basi nafikiri atakuwa ametulet down wengi kwani Itakuwa ni Unafiki Mkubwa..NASEMA HAYA KWA UPENDO WA CHAMA CHANGU CHADEMA[/QUOTE]

Chadema hakuna vilaza kama wewe!......nenda urudi ukiwa umejipanga vizuri
 
...sasa unataka atumie zile bajaji za JK, au bodaboda ili mzee wa vijisenti aweze kumdhuru kirahisi !

Rudi kule mnakoongozwa na yule dhaifu ! Ana muda wa kukutana na akina kingwendu wa Nigeria lkn wa kutatua matatizo ya madaktari na waalimu hana. Sijui appointment ya kwenda tena kupimwa akili ni lini ?
 
sasa mh ulitaka asichukuwe? naona ni vema kwan atalitumia kufikia wananch hasa wale wa vijjn lkn si kwenda kwa mawala!
 
Wakuu Nawasalimu..Naandika haya nikiwa Mpenzi na Mkereketwa Mkubwa wa CDM..Nilishtuka kidogo kusikia kuwa Mwenyekiti wangu wa CDM,Mh Freeman Mbowe amekubali kuchukua gari alilowahi kulikataa na kulirudisha mwaka jana wakati wa Bunge lililopita.Binafsi nilifuatilia lile bunge na nilimuona jinsi alivyokuwa anaongea kwa Uchungu Mkubwa kuhusu matumizi ya serikali na yeye mwenyewe akalirudisha lile gari..Lakini Nimeshangazwa SANA na Habari niliyosikia kuwa Mh Mbowe amechukua gari lingine ilihali alilikataa na Kupinga kulitumia mwanzoni.Binafsi nikiwa kama Mwana CHADEMA Na Mwenye Matarajio Makubwa na Chama Changu,KAMA NI KWELI Mh Mbowe amefanya hili basi nafikiri atakuwa ametulet down wengi kwani Itakuwa ni Unafiki Mkubwa..NASEMA HAYA KWA UPENDO WA CHAMA CHANGU CHADEMA

Nadhani wewe hata kama ni mwanachama wa cdm ila wewe siyo msikivu. Kama ungemsikiliza ungemwelewa. Amesema taratibu za kisheria hasa sheria na kanuni zinazohusu entitlement ya kiongozi wa upinzani ndizo zilimbana. Kwa maana ya kwamba yeye alirudisha ili apewe gari la bei nafuu. Serikali wakamwambia hakuna gari nyingine mbadala kwa vile serikali imelitenga gari hilo na mengine yapo ya aina hiyo hiyo kwa ajili ya kiongozi wa upinzani, kwa hiyo aliambiwa hawezi kujichagulia gari lipi atumie bali serikali ndiyo iliyoiandaa gari hilo kwa ajili yake. Pia sheria za manunuzi ya magari ya serikali au viongozi wakuu hazibadilishi usiku na kesho yake kuanza kutumika, huhitaji mchakato mrefu. Kumbuka mbowe pia alihitaji gari kwa ajiri ya kutekeleza majukumu yake, ili aendelee kufanya hivyo ilibidi alichukue tena kwani serikali haikuwa tayri kumpa gari jingine. Swala kama hili ndilo lililomtokea waziri mkuu Pinda ambaye naye alirudisha alisema bungeni kuwa anarudisha shangingi lake ili kubana matumizi lakini kwake pia halikuwezekana. Mbowe amesema leo bungeni kuwa maadam Pinda ameahidi leo kuachana na ununuzi wa magari ya anasa katika bajeti yake aliyoisoma leo asubuhi basi tungojee tuone kama kweli itakuwa hivyo.
 
Wakuu Nawasalimu..Naandika haya nikiwa Mpenzi na Mkereketwa Mkubwa wa CDM..Nilishtuka kidogo kusikia kuwa Mwenyekiti wangu wa CDM,Mh Freeman Mbowe amekubali kuchukua gari alilowahi kulikataa na kulirudisha mwaka jana wakati wa Bunge lililopita.Binafsi nilifuatilia lile bunge na nilimuona jinsi alivyokuwa anaongea kwa Uchungu Mkubwa kuhusu matumizi ya serikali na yeye mwenyewe akalirudisha lile gari..Lakini Nimeshangazwa SANA na Habari niliyosikia kuwa Mh Mbowe amechukua gari lingine ilihali alilikataa na Kupinga kulitumia mwanzoni.Binafsi nikiwa kama Mwana CHADEMA Na Mwenye Matarajio Makubwa na Chama Changu,KAMA NI KWELI Mh Mbowe amefanya hili basi nafikiri atakuwa ametulet down wengi kwani Itakuwa ni Unafiki Mkubwa..NASEMA HAYA KWA UPENDO WA CHAMA CHANGU CHADEMA

Mnafiki mkubwa. eti mie CDM
 
misisitizo miiiingi, chadema, chadema, oooh nina mapenzi na chadema! kama wamekuboa si uhame chama!
 
Back
Top Bottom