Kalumbesa
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,013
- 356
na posho za vkao mbona anachukua kama shibuda na hilo anatakiwa kujibu
Hivi akiacha kuchua posho mbowe tu na hata wabunge wa chadema wote wakiacha(japo bunge lilikataa swala hili kwa kuwaambia lazima wasaini kitabu cha mahudhurio na ukishasaini tu posho inakuhusu) hicho kiasi cha pesa kitaweza kuleta mabadiliko yoyote katika hali ya uchumi wa Taifa letu?
Vipi wakiacha mamia ya wabunge wa CCM? na vipi bunge letu likifuta hizi posho kwa wabunge wote pamoja na kuondoa matumizi ya magari ya thamani kubwa? Kwani hii hoja ya kufuta posho CCM si wanaikataa tu kwa sababu imetoka upinzani!
Maana ina make sense kabisa kufutwa. Hivi wanajamvi wenzangu serikali yetu inang'ang'ania vipi gharama kubwa za kiuendeshaji ikiwemo na ukubwa wa serikali yenyewe ili hali hali hatujitoshelezi kiuchumi?
YAANI TUNANG'ANG'ANIA KUONGEZA VITI MAALUM,MATUMIZI YA MA V-8,POSHO KWA KUTEGEMEA KUKOPA!Tanzania eeeeeeeeeeeeehhh x 2................................................