Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

nchambi ndio anayeteua au kuchagua rais????
kwa hiyo wewe ni mtabiri wa nyota na umerithi mikoba ya shehe yahaya hussein???

mimi rais wa tano sikubaliani na upotoshaji wako,tusubiri uchaguzi mkuu mwaka 2015 ndio utakaotupatia rais awe anatoka cck,adc,ccm,narea au hata mgombea binafsi alimradi awe mtanzania mzalendo.

jamii forum mara nyingi tumejikita kufanya siasa za kuunga mkono hata upuuzi ilimradi msemaji ni wa chadema kwa mtindo huu hatutafika hakuna uzalend
 
ameondoa au ameongeza? We umeelewa nini hapo kuhusu gari? Hayo ya nyumba na posho, mlinzi sijui nini kama hadai kwa7bu za :kiuchumi hapa anamwambia nani? Ameulizwa? Kwanini asielezee tu gari ambalo wapinzani wake hawaishi kumsema? Haya ndiyo yanayonifanya nichukie siasa za kibongo, unafiki unafiki sanaa!!
Kaa pembeni kama uachie wenye kuweza kuchangia na sio kubwabwaja pumba tuu.
 
hao ndiyo wanasiasa wa bongo wanataka kuwin public support wawapo majukwaani lakini tunatakiwa tuwe makini nao badala ya kushabikia tu kwan shetani umjuaye ni bora zaidi kuliko malaika usiyemjua.Tafakari chukua hatua
 
Duh alikataa landcruiser gx standard akapewa V8 akatwaa! Vipi Zitto naye amerudi na kuchukua posho au? Kama bado Zitto anaendelea na msimamo wake basi huo ndio msimamo thabiti na siyo msimamo wa nataka sitaki.
Ni upuuzi kwa Zitto na Mbowe kuacha posho. maana msingi wa hoja ya CDM ulikuwa ni kwa serikali nzima kufuta posho zisizo na tija, hili lingesaidia serikali kuallocate pesa kwenye vipaumbele vyenye maslahi kwa umma. Maadam serikali na magamba waligoma, kuacha posho za Zitto na Mbowe hakutimizi matakwa ya hoja. By the way CDM wanazihitaji pesa kwa ajili ya M4C ambalo ni la maana zaidi kwa waTZ kuliko kuziacha zinahang bila allocation kama zile za EPA, Akina Mwigulu wanapiga kelele ili CDM mziache wao wazichakachue kama walivyozifanya za EPA. CDM inazihitaji hizo posho na acheni upuuzi na kupotosha msingi wa hoja yenu kwa ati Zitto kuacha posho. Umaana wa hoja ya kufuta posho utaonekana pale tu ambapo posho zitafutwa kwa ujumla wake na kupangiwa matumizi yenye manufaa kwa umma.
 
Mbona unawadanganya? Hata usalama wa viongozi wakeshe kuiba kura!2015 ndio mwisho wao!Rais hawezi toka ccm tena, wajiandae kwa lolote, wengi wanajua hili hata Mh. Nchambi ameliona hili!

Umedata wewe,CCM itaendelea kuongoza 2015!
 
Ni upuuzi kwa Zitto na Mbowe kuacha posho. maana msingi wa hoja ya CDM ulikuwa ni kwa serikali nzima kufuta posho zisizo na tija, hili lingesaidia serikali kuallocate pesa kwenye vipaumbele vyenye maslahi kwa umma. Maadam serikali na magamba waligoma, kuacha posho za Zitto na Mbowe hakutimizi matakwa ya hoja. By the way CDM wanazihitaji pesa kwa ajili ya M4C ambalo ni la maana zaidi kwa waTZ kuliko kuziacha zinahang bila allocation kama zile za EPA, Akina Mwigulu wanapiga kelele ili CDM mziache wao wazichakachue kama walivyozifanya za EPA. CDM inazihitaji hizo posho na acheni upuuzi na kupotosha msingi wa hoja yenu kwa ati Zitto kuacha posho. Umaana wa hoja ya kufuta posho utaonekana pale tu ambapo posho zitafutwa kwa ujumla wake na kupangiwa matumizi yenye manufaa kwa umma.

Ili kuwapa imani wananchi na kutetea msimamo wanatakia wasichukue posho wala kutumia magari ya serikali!!ACHENI UPOPO!!
 
Dah! Naona nimepotea. Thread imejaa vilaza hii. Vilaza wa magamba.
 
hakuna haja y kuwapa majibu yaliyo clear hvyo walo shindwa kuhoji mapesa ya umma,wanataka kujua about individual wealth.CDM are the trustees of greatest number of Tanzanians.
 
Mwigulu alikuwa na point kamuumbua kiurahisi sana jamaa, alitangaza wakati wa kuliacha gari akalichukua kimyakimya
 
nina wasiwasi ma mwenyekiti wa cdm hata na chadema yenyewe kwa ujumla,hvi unapokuwa baba wa familia halafu unakuwa kigeugeu kama mbowe hvi,huu ni uhuni na utapeli,,hawa upinzani nao wachumia tumbo ,waache kuwaadaa wananchi kwa kitu ambacho hawawezi kutenda,huu ni ujinga
 
Mbowe watch out coz this time we M4C's are very serious we won't care of ur effort in building the party. Aaaaaaaa! Bwana don't let us down men. And please do something to the public on what you have done to restore our trust on you. Besides, by so doing you will be showing the sense of being responsible to the public and that is what we CDM's are after. Otherwise I conclude by saying that this has been the abomination of the highest degree as far as Chadema is concerned.

Dear members, I humbly submit.
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom