Mbowe ajibu tuhuma dhidi yake juu ya matumizi ya gari la KUB.

Hahahaaaaa! owwwwkey mh.mbunge,lakini mbona ulikumbuka kunusuru uchumi ukasahau kuinusuru ndoa yako ilhali hilo ndilo lilikua ndani ya uwezo wako zaidi??

Pamoja na majibu mazuri ya mh.mbunge,Nahitaji ufafanuzi zaidi kwenye eneo hilo.

Asante.

Hivi ni -------- gani anayeweza kuongelea mambo ya ndoa yke mitandaoni au kwenye vyombo vya habari? kwenu mmefundishwa hivyo? mwambie baba riz moko naye atwambie mamaye riz 1 yupo wapi na inshu ya vick kamata! watu walioishiwa hoja kama nyie maccm hucki kurukia na kuzusha vitu vya kipuuz huku wakiyafumbia matatizo makubwa yaikabiliyo jamii kama vile rushwa,ujangili,madawa ya kulevya,ufisadi,mauaji ya raia nk.
 
Mbowe sijui kama alisoma imla sasa hapo ameacha kujibu hoja katoa malalamiko ya fedha za uongozi 200000 na Mlinzi pamoja na fedha za mawasiliano ,alishamwambia speaker wa bunge?au ndo anatafuta ujiko?
 
Hili suala limevaliwa njuga na wanaCCM. Na hii yote inadhihirisha kwamba Lusinde & company wameegemea kimaslahi zaidi. Simlaumu Mbowe nalaumu serikali yetu kwa kuendekeza anasa huku hali ya mahospitali na shule ipo duni

Ukipenda chongo utaita kengeza
 
nani kakuambia chadema ni chama,historia inaonyesha sehemu yoyote ukiingia mkono wa wakatoriki hakuna maendeleo.

ni kweli kbs bwn abdala hamisi, wakatoliki wametuletea madhila sana, kila wanapoweka mkono hkn maendeleo
hospitali zao hazisaidii wananchi, hata shule zao za ovyo sana si kama za kwetu ndomana kaka yetu yusufu makamba na wengi waliosoma kwny shule zao elimu yao magumashi, bora kinondoni muslim ingekuwepo wkt huo ndg zetu wangepata elimu ya maana. hivi kale kachuo kao santa agustino unaweza kufananisha na chuo chetu chny hadhi ya kimataifa cha morogoro kwny yale majengo ya tanesco(MUM)
nasikia wameanzisha benki inaitwa mkombozi na imeshafungua matawi kadhaa, kweli wakatoliki wakitia mkono hakuna maendeleo.
nadhani hiyo benki imejengwa na MOU, ngoja tusubiri baada ya miaka kadhaa tuidai serikali na sisi itujengee benki yetu
 
Vipi kuhusu huduma za jamii znazomikikiwa na katoliki? Mf.shule na hosputali, je zinatoa huduma kwa wakatoliki pekee au? Baada ya kumsikia huyo mzee wako akibweka hivyo we ulifanya utafiti maeneo gani hadi unataka utuaminishe na hoja yako dhaifu isiyo na supportive evidence? Jipange upya!!

zile ni biashara kama biashara zingine kwani wanampa nani bure?
 
Zitto anasema tangu mwaka jana hadi leo posho yake inapelekwa kwenye mfuko wa maendeleo ya jimbo!!!!

Mbowe aliacha posho na stahili zote za KUB pamoja na kutumia gari lake kwa miezi 6 ili wamnunulie la kawaida lkn hawakufanya hivyo,sioni shida akilirudia maana hakuna akina Mkono wanaoweza kumchangia ili aonekane kama Zito ila yy anatumia hela zake.Jiulize alitakiwa alipwe laki 2 kama posho lkn halipwi kama anadanganya njooni mtueleze ukweli
 
Acheni uchoyo,udini unatugawa,msiwaaminishe watu kuwa nyie mnatetea maslah ya dini,dini zinajitosheleza hazihitaji utetezi,matatizo yenu hayawezi kumalizwa kwa kushambulia dini nyingine
 
Mbowe aliacha posho na stahili zote za KUB pamoja na kutumia gari lake kwa miezi 6 ili wamnunulie la kawaida lkn hawakufanya hivyo,sioni shida akilirudia maana hakuna akina Mkono wanaoweza kumchangia ili aonekane kama Zito ila yy anatumia hela zake.Jiulize alitakiwa alipwe laki 2 kama posho lkn halipwi kama anadanganya njooni mtueleze ukweli

Mkuu, hii story ya kitambo sana!!!!
 
Back
Top Bottom