Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe= Nick Clegg. lol.

Ukweli ni kwamba mambo kama haya katika siasa yapo haswa katika nchi zetu hizi zakibongo. Ukweli ni kwamba JK will never let Lowassa be president (atatumia CC kukata jina lake, na sababu itakayosemwa ni ile ile iliompoteza Malecela kuwa Mwalimu alikua hamtaki na pia scandal na kujiuzulu kwake kunamfanya asifae).

Kwahiyo kuna logic kubwa hapa. Inawezekana sana hizi zikawa campaign za Zitto kujaribu kumpunguza nguvu Mbowe (kama ni uongo) lakini vile vile inawezekana ikawa kwamba ni mchongo wa CCM kuivunja nguvu CHADEMA (JK and his people might have found that it would be useful to undermine Lowassa through this and at the same time undermine CHADEMA). Lakini kwa kuzingatia jitihada za Lowassa kujisafisha na kujihalalisha kuwa na nafasi ya kiti cha Rais ametoa pesa nyingi kuwezesha wabunge wengi wa CCM na hata wa upinzani kushinda uchaguzi.

Makadirio yasio rasmi kutoka wanasiasa mbali mbali zinasema kuwa ametoa pesa kwa takribani asilimia 75% ya wabunge waliopo Bungeni hivi sasa. Pamoja na kununua viongozi wengine wa CCM, viombo vya usalama ikiwemo TISS na vile vile vyombo vya habari kama tunavyofahamu tayari.

Hii inaonyesha strategy ya huyu bwana ni kucontrol channels zote zinazotumika kuchuja na kuchagua Rais. Bila shaka anawatu wake Central Committee lakini JK anaweza mpoteza aidha kwa kutumia sababu ambazo nimetaja hapo juu haswa kama CHADEMA na vyombo vingine vya kisiasa vikiendelea kumuandama katika miaka hii mitano ijayo. Hivyo kwa kuzingatia tactics it is extremely logical and likely that these allegations are true.

There is a clear motive on Lowassa's part as well as Mbowe ( kama ilivyotokea kwa Clegg, na kama hali ilivyo Kenya kwa mfano). Ukweli ni kwamba hii kitu ni mbaya na inahitaji kuchunguzwa zaidi na kutumia misingi ya kuto kupendelea au kufikiria kwa kutumia hisia za uzalendo wa ki-CHADEMA. In other words, these allegations warrant serious objective investigation and analysis.

Lisemwalo lipo na kama halipo basi linachongwa na 2015 mtaliona.

Utabiri unatimia
 
Naomba tufanye kitu kimoja waTanzania wote Na wanaJF wote humu kwanza kabisa tujue Nchi hii ime jengwa kwa Misingi thabiti kabisa ambayo sio Mwalimu tu ila pia michango ya wa asisi Wa Nchi hii wako wemo akina Sokoine na wengine wengi.

Pili tuki eka Nchi hii rehani kwa kumchagua mtu either kwa utashi wake, au uvuto wake au kupendwa tu kwa ujinga ujinga Na mzaha tuta iweka Nchi yetu Rehani.

Tatu tujue kwanza sifa za mtu kuwa Rais wetu baada ya hapo tusikilize hoja zake na sio kwa maneno tu Bali kuangalia Na USO wake kama kweli ana maanisha anacho sema.

NNE Lowassa ni Fisadi its known toka 90's then jiulize wewe kama mwananchi unawezaje wezaje kumpa nchi mtu mwenye uchu Na tamaa ya madaraka kupindukia namna hii.

Tano Magufuli ana kasoro zake ila uzuri wake ni mkubwa mno uwezo wake ni thabiti kabisa. Sio kila kesi ya Wizara aliyo Fanya Kazi ni yeye kahusika Watendaji ndio wanao waangusha viongozi wetu.

Sita Tutulie, Tu subiri kampeni zifike tusikilize hoja kwa makini kila mgombea baada ya hapo tusubiri kupiga kura Turudi majumbani mwetu tu subiri matokeo yetu.
 
Mwandishi wa thread hii atakuwa anayetaka kuwaambukiza wote wazimu wake! Hataji lini, wapi, kiasi cha pesa na jinsi zilivyolipwa! Watanzania si wajinga kiasi hicho! Akajipange upya na ahusishe vyombo wanavyotumiaga!

Mkuu umepanic? Bdo tu hujaelewa?
 
Mbowe ni mtu hatari sana chadema, tena ni mbabe sana, ukiona Dr. Slaa kawa mpole ujue kwamba mambo si shwari!
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.
 
Mbowe= Nick Clegg. lol.

Ukweli ni kwamba mambo kama haya katika siasa yapo haswa katika nchi zetu hizi zakibongo. Ukweli ni kwamba JK will never let Lowassa be president (atatumia CC kukata jina lake, na sababu itakayosemwa ni ile ile iliompoteza Malecela kuwa Mwalimu alikua hamtaki na pia scandal na kujiuzulu kwake kunamfanya asifae).

Kwahiyo kuna logic kubwa hapa. Inawezekana sana hizi zikawa campaign za Zitto kujaribu kumpunguza nguvu Mbowe (kama ni uongo) lakini vile vile inawezekana ikawa kwamba ni mchongo wa CCM kuivunja nguvu CHADEMA (JK and his people might have found that it would be useful to undermine Lowassa through this and at the same time undermine CHADEMA). Lakini kwa kuzingatia jitihada za Lowassa kujisafisha na kujihalalisha kuwa na nafasi ya kiti cha Rais ametoa pesa nyingi kuwezesha wabunge wengi wa CCM na hata wa upinzani kushinda uchaguzi.

Makadirio yasio rasmi kutoka wanasiasa mbali mbali zinasema kuwa ametoa pesa kwa takribani asilimia 75% ya wabunge waliopo Bungeni hivi sasa. Pamoja na kununua viongozi wengine wa CCM, viombo vya usalama ikiwemo TISS na vile vile vyombo vya habari kama tunavyofahamu tayari.

Hii inaonyesha strategy ya huyu bwana ni kucontrol channels zote zinazotumika kuchuja na kuchagua Rais. Bila shaka anawatu wake Central Committee lakini JK anaweza mpoteza aidha kwa kutumia sababu ambazo nimetaja hapo juu haswa kama CHADEMA na vyombo vingine vya kisiasa vikiendelea kumuandama katika miaka hii mitano ijayo. Hivyo kwa kuzingatia tactics it is extremely logical and likely that these allegations are true.

There is a clear motive on Lowassa's part as well as Mbowe ( kama ilivyotokea kwa Clegg, na kama hali ilivyo Kenya kwa mfano). Ukweli ni kwamba hii kitu ni mbaya na inahitaji kuchunguzwa zaidi na kutumia misingi ya kuto kupendelea au kufikiria kwa kutumia hisia za uzalendo wa ki-CHADEMA. In other words, these allegations warrant serious objective investigation and analysis.

Lisemwalo lipo na kama halipo basi linachongwa na 2015 mtaliona.

Maandishi yako yanazidi kupata uhai, kama ulivyotabiri Lowassa kukatwa Ndivyo na Urais hawezi kukabidhiwa na Kikwete....... Ukweli mchungu.!
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.

unadhani hapa ni FB???. angalia vizuri hapo juu posted lini yan kama kuedit ni ngumu na hizo comment walizojibu huu uzi pia 2011 zimejibiwa na nani??.fungua macho wewe kijana nchi inauzwa wewe upo na ushabiki maandazi. nachukia watu wasiosimama kwenye ukweli.
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.
Ungekuwa na ufikiri kidogo tu ungejaribu kutafuta hilo gazeti kwenye mitandao ujiridhishe.

Kwanza unaikosea heshima JF kuwa ina edit habari kwa maslai yake, na uelewa zaidi ya asilimia tisini habari za humu ni kutoka kwa member wenyewe.

Sidhani kama kuna member anaweza kuingilia seva za JF aka edit habari.

Hapo ndio utakapojua jua jf ya zamani na sasa, wakati member wa Zamani walibobea kwa michango fikirishi kiasi cha kujiuliza jinsi ya kumjibu.

Sasa hivi WanaJF wengi ni wale waliobebwa na mafuriko, kiasi wale wenye nondo zao wamekaa pembeni.
 
Wengi wetu tupo JF miaka mingi na tunakumbuka mijadala, analysis na whistle blowing zilizopita na tunavunjika moyo na diluted conversation ya sasa.
Lakini ni threads kama hizi ambazo husaidia sana katika national conversation.
Hapa wale pillars wa Team Lowassa hawatii mguu wala akina Molemo. Hawana cha kusema.
 
Mkuu, alichofanya Mbowe ni kucalculate profit and loss. Jibu alilopata ni kuwa Slaa ni loss kwa vile anamlipa mshahara mnono. Matokeo yake kauza Chama na wanachama.
Slaa sasa hivi officially ni jobless.
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.

Vijana wa Bavicha wengi mmeshikiwa akili...
 
Yericko Nyerere ningeomba aje akanushe habari hii!! toka uzi huu umekua updates Cjaona post zake!!

Mkuu wanasubiri walishwe na team Lowassa maneno, tatizo ni ngumu kupigana na historia. Si unaona wanakuja na spinning za ajabu ajabu wanachungulia na kutoka! Hawana la maana!
 
Mkuu, alichofanya Mbowe ni kucalculate profit and loss. Jibu alilopata ni kuwa Slaa ni loss kwa vile anamlipa mshahara mnono. Matokeo yake kauza Chama na wanachama.
Slaa sasa hivi officially ni jobless.

Dah! Ndo ukweli. Mzee wa watu nadhani haamini kabisa kuwa katoswa hivi. Huyu Mbowe ni hatari sana. Ila ni mfanyabiashara mzuri sana kwa kweli. Kaanza negotiations zamaniii so nina uhakika dau lake lilikuwa safi 2015 alipo-seal the deal !
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom