Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Ushauri wangu kwa Chama aka CCM.
HIZI TAARIFA ZIWE ZINAPRINTIWA HALAFU ZINAGAWIWA KWA WATU WOTE, MJINI NA VIJIJINI ILI HILI FISADI LIKOSEA KURA KWA KIASI CHA MAFURIKO.

HEKA HEKA CCM, HAKIKISHENI HIZI TAARIFA ZINAFIKA KIJIJINI KABISA. NDO DAWA YA HILI FISADI NA NGO LA CHADEMA.
 
mbowe= nick clegg. Lol.

Ukweli ni kwamba mambo kama haya katika siasa yapo haswa katika nchi zetu hizi zakibongo. Ukweli ni kwamba jk will never let lowassa be president (atatumia cc kukata jina lake, na sababu itakayosemwa ni ile ile iliompoteza malecela kuwa mwalimu alikua hamtaki na pia scandal na kujiuzulu kwake kunamfanya asifae).

Kwahiyo kuna logic kubwa hapa. Inawezekana sana hizi zikawa campaign za zitto kujaribu kumpunguza nguvu mbowe (kama ni uongo) lakini vile vile inawezekana ikawa kwamba ni mchongo wa ccm kuivunja nguvu chadema (jk and his people might have found that it would be useful to undermine lowassa through this and at the same time undermine chadema). Lakini kwa kuzingatia jitihada za lowassa kujisafisha na kujihalalisha kuwa na nafasi ya kiti cha rais ametoa pesa nyingi kuwezesha wabunge wengi wa ccm na hata wa upinzani kushinda uchaguzi.

Makadirio yasio rasmi kutoka wanasiasa mbali mbali zinasema kuwa ametoa pesa kwa takribani asilimia 75% ya wabunge waliopo bungeni hivi sasa. Pamoja na kununua viongozi wengine wa ccm, viombo vya usalama ikiwemo tiss na vile vile vyombo vya habari kama tunavyofahamu tayari.

Hii inaonyesha strategy ya huyu bwana ni kucontrol channels zote zinazotumika kuchuja na kuchagua rais. Bila shaka anawatu wake central committee lakini jk anaweza mpoteza aidha kwa kutumia sababu ambazo nimetaja hapo juu haswa kama chadema na vyombo vingine vya kisiasa vikiendelea kumuandama katika miaka hii mitano ijayo. Hivyo kwa kuzingatia tactics it is extremely logical and likely that these allegations are true.

There is a clear motive on lowassa's part as well as mbowe ( kama ilivyotokea kwa clegg, na kama hali ilivyo kenya kwa mfano). Ukweli ni kwamba hii kitu ni mbaya na inahitaji kuchunguzwa zaidi na kutumia misingi ya kuto kupendelea au kufikiria kwa kutumia hisia za uzalendo wa ki-chadema. In other words, these allegations warrant serious objective investigation and analysis.

Lisemwalo lipo na kama halipo basi linachongwa na 2015 mtaliona.

kinyambiss I salute you. Sijui upo hai? Darubini yako iko vizuri sana. Ni watanzania wachache sana wanaoweza kuona mbali kama wewe. Ndo maana siku hizi wamedanganyika na fisadi na mpiga pesa.
 
Thread 31 March 2011,leo
August 2015 lisemwalo lipo! Na kama halipo usilale wee kaa macho utaliona likija!
 
Duh. Kuna ambaye alisha wahi kuchangia uzi huu 2011? Ama wazee wa kitengo wame insert hii kitu?
 
Maana watu wa IT wanaweza fanya hizi mambo..mnakumbuka mambo ya mapanga ya CUF siku mbili kabla ya uchaguzi
 
Ni genius jamaaa huyu mbowe,maana kamfanya banian kiatu chake kiuzwe dolali nyingi,aise ila uwezo wa kucheza na mind za watu mbowe kiboko,lakini sina hakika kama atadanganya taifa zima labda ukawa tu tehetehe
 
Nyumbu au wale misukule hawawezi kuelewa haya,, ni waelevu tu ndio wanaweza kufikili hapa,, ZZK aliitwa msaliti na nyumbu wengi bila kujua lakini hiyo ndio CDM aka wazee ufipa...
 
El amezungumzwa sana kwa hizi tabia zake toka siku nyingi sana, hatuwezi kuwa na President wa namna hii kwa JK inatosha..
 
Duh. Kuna ambaye alisha wahi kuchangia uzi huu 2011? Ama wazee wa kitengo wame insert hii kitu?

Wewe ni mgeni JF??? mbona huu uzi upo toka enzi hizo,,, mbona pia kuna watu wamechangia 2011**
 
rumours are made by haters of lowasa spread by fools and accepted by ------ ...mtoa maada yawezekana ni hater wa lowasa ama in fool anaesambaza hii kitu , msomaji angalia sana usije ukaamini huu upuuzi unless we ni idiot
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom