I don't work for no newspaper.
Neither am i a journalist.
Ukiutaka ukweli lazima uutafute.
Nimekupa assignment ndogo. NITAFUTE.
As a great thinker chief, dare to talk openly right here! Hata huyu aliyeleta thread did the same, alitafutwa na nani??
I don't work for no newspaper.
Neither am i a journalist.
Ukiutaka ukweli lazima uutafute.
Nimekupa assignment ndogo. NITAFUTE.
Huo upuuzi kawaambie familia yako, hapa Ni lowasa tu hamna namna. Tumeshaichoka CCM kwa adaa zenu kila Mara! Mlishaniaminisha mmachinga Ni bora kuliko wote nikamchagua alichonifanyia sijaona!! Mkaniadaa mkwere Ni mzuri kuliko wote na maisha yatakuwa bora kwa kila mtz badala yake maisha yamekuwa tabu mikopo vyuoni hatupati,ajira hamna!! Sehemu nzuriwanaajiriwa watoto wa viongozi tu hatakama hawana sifa!!! Watoto WA viongozi wanasoma shule nzuri hata nje ya nchi wangu st. Kayumba tena anakaa chini!!! Wamama wajawazito na wagonjwa tunalazwa chini vitanda hamna wakati kiongozi check up ulaya!! Halafu Leo uniambie Ccm nitakuelewa??? Tungekuwa tunatibiwa na viongozi na kusoma na watoto wao tungekuwa na imani na ccm. Lakini kwasasa hapana bora nimchague mnaeniaminisha ni fisadi japokuwa ushahidi hamna!! Mahakamani hayapelekwa!! Wakati mafisadi wote na wezi wa Mali ya umma wapo ndani ya CCM wanafugwa. Maguful ni❌❌ lowasa ✔✔✔Naomba tufanye kitu kimoja waTanzania wote Na wanaJF wote humu kwanza kabisa tujue Nchi hii ime jengwa kwa Misingi thabiti kabisa ambayo sio Mwalimu tu ila pia michango ya wa asisi Wa Nchi hii wako wemo akina Sokoine na wengine wengi.
Pili tuki eka Nchi hii rehani kwa kumchagua mtu either kwa utashi wake, au uvuto wake au kupendwa tu kwa ujinga ujinga Na mzaha tuta iweka Nchi yetu Rehani.
Tatu tujue kwanza sifa za mtu kuwa Rais wetu baada ya hapo tusikilize hoja zake na sio kwa maneno tu Bali kuangalia Na USO wake kama kweli ana maanisha anacho sema.
NNE Lowassa ni Fisadi its known toka 90's then jiulize wewe kama mwananchi unawezaje wezaje kumpa nchi mtu mwenye uchu Na tamaa ya madaraka kupindukia namna hii.
Tano Magufuli ana kasoro zake ila uzuri wake ni mkubwa mno uwezo wake ni thabiti kabisa. Sio kila kesi ya Wizara aliyo Fanya Kazi ni yeye kahusika Watendaji ndio wanao waangusha viongozi wetu.
Sita Tutulie, Tu subiri kampeni zifike tusikilize hoja kwa makini kila mgombea baada ya hapo tusubiri kupiga kura Turudi majumbani mwetu tu subiri matokeo yetu.
Mkuu naendelea kuona Magufuli anavyogain taratiiibu... Tutaona Mengi, TusubiriMkuu umetisha sana
Huo upuuzi kawaambie familia yako, hapa Ni lowasa tu hamna namna. Tumeshaichoka CCM kwa adaa zenu kila Mara! Mlishaniaminisha mmachinga Ni bora kuliko wote nikamchagua alichonifanyia sijaona!! Mkaniadaa mkwere Ni mzuri kuliko wote na maisha yatakuwa bora kwa kila mtz badala yake maisha yamekuwa tabu mikopo vyuoni hatupati,ajira hamna!! Sehemu nzuriwanaajiriwa watoto wa viongozi tu hatakama hawana sifa!!! Watoto WA viongozi wanasoma shule nzuri hata nje ya nchi wangu st. Kayumba tena anakaa chini!!! Wamama wajawazito na wagonjwa tunalazwa chini vitanda hamna wakati kiongozi check up ulaya!! Halafu Leo uniambie Ccm nitakuelewa??? Tungekuwa tunatibiwa na viongozi na kusoma na watoto wao tungekuwa na imani na ccm. Lakini kwasasa hapana bora nimchague mnaeniaminisha ni fisadi japokuwa ushahidi hamna!! Mahakamani hayapelekwa!! Wakati mafisadi wote na wezi wa Mali ya umma wapo ndani ya CCM wanafugwa. Maguful ni❌❌ lowasa ✔✔✔
unaamua kujitoa akili tu lakini lazima kunakitu umeelewa, pia kumbuka huu uzi ni wa 2011, kilichosemwa wakati huo sasa kimetokea na majibu unayaona, sasa unatushauri tupuuze badala ya kutafakari kwa kina. au nyie ndio mlionunuliwa?rumours are made by haters of lowasa spread by fools and accepted by ------ ...mtoa maada yawezekana ni hater wa lowasa ama in fool anaesambaza hii kitu , msomaji angalia sana usije ukaamini huu upuuzi unless we ni idiot
Mafisadi wanafugwa na kukumbatiwa ndani ya CCM, Makofili angekuwa Hana tamaa ya madaraka asingegombea!!! CCM chaguzi zenu nyingi zinaongozwa na rushwa kila sehemu nadhani hata job ndugai alimpiga mgombea mwingine kisa Ni uchu wa madaraka!!CCM mmezidi jamani rushwa Ni nyinyi, uwizi Ni nyingi, huongo Ni nyinyi!! Kupindisha sheria Ni nyinyi!! CCM haina tofauti na shetani, Tanzania tunaongozwa na mashetani (CCM) walikosa imani ya Mweenyenzi mungu.Siku zote ukweli lazima ujichuje. Sioni tofauti ya mbowe na el. Wote wanatamaa ya madaraka na wote mafisadi. Wapo kwa ajili ya kutunisha account zao hakuna uzalendo hapo. Na ndipo napogundua zitto msafi alianza leta shida ya mabadiriko haya akaonekana msaliti sana kumbe mbowe anasafisha njia.
wewe ndiye popo mkuu Mimi Nina akili zangu Hilo gazeti nimelisaka chimbo halipo inamaana maccm yametengeneza hii story hionekane Ni ya nyuma, ninawajua haya mavibaka (CCM) huwa hayashindwi kituMkuu sio kwa kuwa nchi in ma-Frustration kibao, tuna hasira dhidi ya CCM, Tumesalitiwa, Haimaaanishi kwamba tuwe "ZOAZOA" ....tuache USHABIKI na "UPOPO" wa kisiasa.
:noidea: wht you are talking!!!
Mafisadi wanafugwa na kukumbatiwa ndani ya CCM, Makofili angekuwa Hana tamaa ya madaraka asingegombea!!! CCM chaguzi zenu nyingi zinaongozwa na rushwa kila sehemu nadhani hata job ndugai alimpiga mgombea mwingine kisa Ni uchu wa madaraka!!CCM mmezidi jamani rushwa Ni nyinyi, uwizi Ni nyingi, huongo Ni nyinyi!! Kupindisha sheria Ni nyinyi!! CCM haina tofauti na shetani, Tanzania tunaongozwa na mashetani (CCM) walikosa imani ya Mweenyenzi mungu.
Nimejisikia furaha kusoma hii habari na kujua ukweli kuwa Mbowe ndio anaua nguvu ya upinzani kwa kuwalinda na kuwatetea mafisadi. Mzalendo Zitto alikuwa anaoneka tatizo pale CHADEMA, lakini tatizo kubwa la CHADEMA ni Mbowe ameweka tamaa ya pesa mbele na kusahau maadili ya uongozi!
kaka wewe hata radio unaweza kubishana nayo kama hata habari zenye ukweli unashindwa kukubali #HAPAKAZITUmwandishi wenu wa gazeti gani? na mpaka mbowe aweke ngumu eti waandikishane hiyo serikali ya umoja wa kitaifa itakuwa ya chadema na ccm tu? au ccm+cuf+cdm+nccr?
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/122791-mbowe-aiuza-chadema-kwa-lowassa.html
Miaka michache iliyopita kumekua na tetesi tu kuhusu mahusiano ya lowassa na mbowe, wengi wakahoji bila majibu na hiki kilipelekea baadhi ya wakongwe wa siasa kama Zitto kufukuzwa kwenye chama hicho, lakini ripoti zinaonyesha mbowe ndio mzizi wa fitna na amekua mstari wa mbele kuhakikisha akaunti zake zinajaa mabilioni ya Lowassa ambaye alikua Waziri mkuu wa Tanzania aliyejiuzulu baada ya kashfa ya richmond bila kujali misingi ya chama chake, vyanzo vinazidi kudadisi haya kama kweli mbowe alishafuatwa na mgombea huyu wa sasa wa uraisi kwa tiketi Chadema miaka ya 2011 na kuombwa amsafishe je kuna utaratibu wowote uliochukuliwa kuhakikisha mbowe anasimimamia misingi na haki ndani ya chama na sio kuendekeza pesa,
Mwenye macho haambiwe tazama na mwenye masikio haambiwi sikia, mbowe ni tatizo ndani ya chama.
nakaribisha matusi yote na kashfa na waliopaniki pia wachangie hapa kupunguza stress ila ukweli huo hapo juu. na kwale waelewa wenzangu pateni ujumbe huu pia. Narudisha kadi yangu ya CDM leo.
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/122791-mbowe-aiuza-chadema-kwa-lowassa.html
Mabilioni ya kumchafua lowasa naona yameanza kufanya kazi,,,, hapo mmenoa tafuteni saizi yenu mziki wa chadema na lowasa hamuuwezi