Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

Dah! Ndo ukweli. Mzee wa watu nadhani haamini kabisa kuwa katoswa hivi. Huyu Mbowe ni hatari sana. Ila ni mfanyabiashara mzuri sana kwa kweli. Kaanza negotiations zamaniii so nina uhakika dau lake lilikuwa safi 2015 alipo-seal the deal !

Deal lilikamilika 2012 nadhani Slaa alielezwa labda alikuwa anajaribu kutafuta njia ya kumsafisha.

Pengine masharti ya Slaa yalikuwa magumu lakini yangeweza kupunguza ukakasi lakini nadhani EL aliyagomea kwa kutegemea CCM inaweza kumpitisha...imagine mpaka kwenye kutangaza nia EL anaisifia sana serikali ya JK.
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.

Najua umepigwa butwaa lakini kuna members waliochangia huu uzi 2011.
Na huku JF kuna wataalam wa IT waliobobea.
Sio wewe unayeangalia kwa macho.
Tena pita huko kwenye thread za zamani ipo ya miaka kama 2 hivi iliyopita inayomwongelea Mbatia pia.
Ni shock tu utatulia taratibu
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.
Mkuu this is too low for you!! na waliocomment nao si member wa humu ndani??? Kama huitaki habari iache tu lakini acha ku -destroy credibility ya JF.
 
Stunning!

Hii habari ilisikika huko nyuma na watu wakaipotezea lakini jamani lisemwalo lipo na kama halipo basi laja.

Mimi nikiangalia mwelekeo hata wa gazeti la Tanzania Daima hivi karibuni ninapata picha kwamba kuna jambo linachemka n siyo muda mrefu tunaweza kuona kitu cha kushangaza. Gazeti hili ambalo huko nyuma lilikuwa makini sana, kwa sasa limegeuka kuwa mdomo mahiri wa bwana Lowassa kila anapokuwa na lolote la kumpandisha chati. Hata suala la Dowans linavyopigiwa debe chanya na akina Hapiness Katabazi na wenzake ni jambo ambalo si la kupuuza.

Lakini hili la bwana Kibanda kuwa ndiye "mmiliki" wa jarida la UMOJA ambalo duru za uchuguzi zinasema ni mradi wa kumtakasa mkubwa huyu, na wakati huo huo akiwa ni mhariri mtendaji wa Tanzania Daima ni mambo yanayoleta mkanganyiko wa kujenga mashaka.

Chadema liangalieni hili kwa jicho lisilo la kishabiki ili kama lipo lizuiwe mapema maana litakiua chama au kukiondolea imani kwa wananchi.
mbona ccm wameuza nchi kwa wachina
 
Siku zote ukweli lazima ujichuje. Sioni tofauti ya mbowe na el. Wote wanatamaa ya madaraka na wote mafisadi. Wapo kwa ajili ya kutunisha account zao hakuna uzalendo hapo. Na ndipo napogundua zitto msafi alianza leta shida ya mabadiriko haya akaonekana msaliti sana kumbe mbowe anasafisha njia.
 
yani mtu anataka kununua madaraka ya kuiongoza Nchi, ni ujinga tu wa Tanzania ndio unaweza kuruhusu hali hii ya nchi kununuliwa kwa pesa.
 
Hii illikua inajionesha toka mda mrefu sana lowasa alijaribu kutumiankila.mbinu ili awe rais nakumbuka mwaka 95 pia alikatwa katika orodha ya wawania urais watano na nyerere alithibitisha hilo waliokatwa basi hawana vigezo iweje leo eti mbowe aone peke ake kwamba lowasa anafaa na anawarubuni watanzania kwa pesa zao ili wamkubali hii sio haki na tusipokua makini tutauzwa nchi nzima
 
Hii post imetengenezwa leo saa 23:30 kana kwamba ilikuwa 31.3.2011. Jaribu kufuatilia mtiririko wa matukio utaona ni kweli ninachoandika.
Haina ukweli wowote kabisa.

Mkuu mie niko sensitive sana na allegation ya aina yoyote ile, huwa ninapenda kujifunza na kufahamu vitu vipya ikiwezekan kila siku. Baada ya allegation hii niliamua kufuatilia posts zote za nickname nimeona ni kweli tarehe 31 Machi 2011 aliianika hii post hapa jamvini, kong'oli kwenye hii link hapa chini kisha scroll hadi upate tarehe 31 Machi 2011.:

https://www.jamiiforums.com/search.php?searchid=39683396&pp=&page=3
 
Na tukikuuliza utajiri wako umeutoa wapi, una sema nauchukia umasikini! Tukikuuliza pesa hizi unazipata wapi? unasema pesa hizi ni za marafiki zangu, Hao marafiki zako wanatoa pesa zote hizi ili wewe uende ikulu, Kwa Maslahi gani?? Wameoa dada yako?:bump2: - Humphrey Polepole.
 
Na tukikuuliza utajiri wako umeutoa wapi, una sema nauchukia umasikini! Tukikuuliza pesa hizi unazipata wapi? unasema pesa hizi ni za marafiki zangu, Hao marafiki zako wanatoa pesa zote hizi ili wewe uende ikulu, Kwa Maslahi gani?? Wameoa dada yako?:bump2: - Humphrey Polepole.

Mkuu umetisha sana
 
kwanini usiweke huo ukweli hapa kama unapingana na mwandishi wa hii thread???
Kwann utafutwe pembeni?? Na tutaamini vipi kama gazeti lako pia sio propaganda???!!
We all need changes lakini kwa mfumo huu BIG NO..

I don't work for no newspaper.
Neither am i a journalist.
Ukiutaka ukweli lazima uutafute.
Nimekupa assignment ndogo. NITAFUTE.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom