Egnecious
JF-Expert Member
- Jul 8, 2015
- 894
- 994
Ukawa walikuwa mstari wa mbele kuchukia ufisadi. Walipiga kelele na dunia yote ikasikia. Kila mtu alilia juu ya hilo.Nina imani na lowasa
Lakini imekuja kugundulika kuwa chadema na ukiwa yote walichukia ufisadi kwa sababu walikuwa hawajapata nafasi ya kuwa mafisadi. Sasa nimafisadi hawana habari na kuwasema mafisadi kwasababu watakuwa wanajivua nguo.
Ukawa ni mafisadi. Tuwaogope. Tusiwape kura.