Mbowe aibomoa CCM hai, wanafamila wa mkiti CCM wilaya, wahamia CHADEMA

Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa ccm wilaya ya Hai Amini Uronu. Mh. Mbowe pia alipokea wanachama wapya 30 kutoka chama cha mapinduzi (CCM). Miongoni mwa waliorudisha kadi hizo ni wanafamilia wa Mkiti huyo wa ccm ( Amini Uronu) ambao ni wadogo zake - nao ni Zawadi Uronu na Haruna Uronu. Vijana hao, wengi wao ndo waliokuwa tegemeo na wahamasishaji wakuu wa ccm wilayani hapo.
My take,
Wadogo zake na mkiti wa ccm wilaya wanaiasi ccm, nani ataitetea ccm?
Kama walioko ndani wana migogoro mikubwa, I can not wait 2015.
Thanks.
Hiyo imesha expire. Tayari ilishasomwa kwenye lile gazeti lenu sasa ulitegemea liandikeje?
 
Na bado, huu ni mwanzo tu, kimbunga chenyewe kinakuja! Wengi watakimbia magamba. Acha wang'ang'anie magamba yao, yatakuja kuwakaukia mwilini na watayavua kwa machozi huku damu ikiwavuja. Hahahaha
 
Mkiti wa Taifa wa Chadema, Mbunge wa Hai, na kiongozi wa kambi rasmi ya upinzani bungeni, ameibomoa ccm kwa kufungua shina la wakereketwa wa Chadema wilayani hai karibu na nyumbani kwa mkiti wa ccm wilaya ya Hai Amini Uronu. Mh. Mbowe pia alipokea wanachama wapya 30 kutoka chama cha mapinduzi (CCM). Miongoni mwa waliorudisha kadi hizo ni wanafamilia wa Mkiti huyo wa ccm ( Amini Uronu) ambao ni wadogo zake - nao ni Zawadi Uronu na Haruna Uronu. Vijana hao, wengi wao ndo waliokuwa tegemeo na wahamasishaji wakuu wa ccm wilayani hapo.
My take,
Wadogo zake na mkiti wa ccm wilaya wanaiasi ccm, nani ataitetea ccm?
Kama walioko ndani wana migogoro mikubwa, I can not wait 2015.
Thanks.
hapo red; CCM siyo chama cha ukoo/familia wapo wengine watakao fanya kazi hizo
 
hapo red; CCM siyo chama cha ukoo/familia wapo wengine watakao fanya kazi hizo

kikwete alisema swala uraisi ni la kifamilia..itakuwa ccm..angalia kuteuliwa kwa viongozi kama nepi, makamba nk..kama ccm siyo ya familia basi ni ya koo
 
Haya Mikael P Aweda Chadema nasikia jina la mzee wetu Professor safari ndio mgombea Mwenza haya Mgombea urais ni nani mutaweza harakati za Zitto kuwa na ndoto zake za Urais kumeueka Pembeni au kukosa kura za Waislamu kuwa chadema haitaki waswahili wa Pwani ? na CCM uchaguzi ujao washachagua wagombea wao Urais Dr Shein ndio chaguo la Mwkera anasema zamu ya Wazanzibari na Mgombea Mwenza ni Mwanamke ila jina halijavuja bado ila inajulikana kuwa Mwanamke huyu yuko nje ya Tanzania wadadisisi wanajiuliza ni Washington au NEWYORK kwani kote huko kuna wanawake wawili shupavu wanaominiwa kuikoa CCM uchaguzi ujao kupata kura nyingi za wanawake na Shein kuzoa kura nyingi Waislamu wa Bara na Visiwani pia Mkwera Kichwa kinamuuma vipi atawatuliza kina Membe na mtoto wa Mkulima Pinda alie na zero support Zanzibar. Ndugu zetu CUF bado wana jishauri nani atashikamana na Lipumba ni Mbunge Habib Mnyaa au Mwakilishi Ismail Jussa. ila tusiwe na wasi wasi na suprize kwani Lowassa amegeuka Mussa Kussa yule waziri wake wa nje wa Libya Gadafi aluuzia siri za nchi kwa Uk na QATAR kwa hiyo tusubiri suprize.
 
Hapa ni mbunge anatembelea jimbo lake na kuimarisha chama pa1 na kujiongezea wapigakura.

Acheni upuuzi wenu wa kutazama mambo kibaguzi na kung'ang'ania propaganda za magamba kwenye bongo zenu!!?

Cdm wamefanya maandamano na operation sangara mikoa ya kanda ya ziwa hadi Tabora, nyanda za juu kusini hadi Ruvuma. Hivyo havijawahi kufanyika kwenye kanda nyingine ikiwemo kaskazini lakini bado mnaeneza propaganda za kila kitu kaskazini. Funguka akili ndungu, usikubaki kusafirishwa kwenye meli ya magamba!

Mkuu lakini naona umemuelewa kwa hisia ulivyoona ww! Lakini mkuu ametoa ombi kwa wapambanaji waende mtwara ili na wao wapate mabadiliko, inaonyesha wameshachoshwa na magamba! Sasa unavyomjibu hivyo unamkatisha tamaa na kumfanya ajisikie si mmoja kati yetu. Tumia hekima kwa kila jibu unalotaka kutoa!. " kwani kuna watunzi waliwahi kutunga mashairi juu ya kusini, moja wapo linasema "watanzania njooni kusini" unakumbuka hili?
 
Kinachonifurahisha kwa mbowe kikubwa ni ujasiri alionao katika kusimamia kile anakiamini.mwk jana alifanya kampen akaletewa fujo na baadh ya vijana walionunuliwa ccm na wa kata ya masama leo 75% yao ni cdm .naomba niwahakikishie kwa hamasa iliyoko hai kuhusu cdm baada ya utendaji wa vitendo wa mbowe 2015 85% ya kura ni cdm...
 
Kinachonifurahisha kwa mbowe kikubwa ni ujasiri alionao katika kusimamia kile anachokiamini.mwk jana alifanya kampen akaletewa fujo na baadh ya vijana walionunuliwa ccm na wa kata ya masama leo 95% yao ni cdm .naomba niwahakikishie kwa hamasa iliyoko Hai kuhusu cdm baada ya utendaji wa vitendo wa mbowe 2015 85% ya kura ni cdm...
 
Waje Mtwara sio kila uchao kaskazini tu

Eboh!!! kweli wewe ni mgeni kwenye siasa za nchi hii!! Mtwara? Songea? sijui wapi....Hiki ni chama chetu cha WACHAGA na WAMBULU wa KASKAZINI!! tUWAPELEKE WAPI NYINYI!!! SHIMBONI SHAFO, KOLOLY MBEEE...
 
Haya Mikael P Aweda Chadema nasikia jina la mzee wetu Professor safari ndio mgombea Mwenza haya Mgombea urais ni nani mutaweza harakati za Zitto kuwa na ndoto zake za Urais kumeueka Pembeni au kukosa kura za Waislamu kuwa chadema haitaki waswahili wa Pwani ? na CCM uchaguzi ujao washachagua wagombea wao Urais Dr Shein ndio chaguo la Mwkera anasema zamu ya Wazanzibari na Mgombea Mwenza ni Mwanamke ila jina halijavuja bado ila inajulikana kuwa Mwanamke huyu yuko nje ya Tanzania wadadisisi wanajiuliza ni Washington au NEWYORK kwani kote huko kuna wanawake wawili shupavu wanaominiwa kuikoa CCM uchaguzi ujao kupata kura nyingi za wanawake na Shein kuzoa kura nyingi Waislamu wa Bara na Visiwani pia Mkwera Kichwa kinamuuma vipi atawatuliza kina Membe na mtoto wa Mkulima Pinda alie na zero support Zanzibar. Ndugu zetu CUF bado wana jishauri nani atashikamana na Lipumba ni Mbunge Habib Mnyaa au Mwakilishi Ismail Jussa. ila tusiwe na wasi wasi na suprize kwani Lowassa amegeuka Mussa Kussa yule waziri wake wa nje wa Libya Gadafi aluuzia siri za nchi kwa Uk na QATAR kwa hiyo tusubiri suprize.

Mkuu wewe ndio umewapa combination ya kuitesa cdm 2015. Wakisoma hapa ndiyo itakuwa maamuzi ya CC 2015
 
Na wewe MOD ni BOYa tu....kwanini unafuta comments zangu wewe boya ******???? Au kwasababu haijai favour CDM?? Yaani tutatuma anything na tutabanana hapa hapa bila kutoka na tutajiandikisha kwa majina tofauti mpaka ukome **** ***** wewe!!!
 
Afadhali! That Amin Uronu ameshaleta mambo ya ajabu sana ktk kijiji cha Nshara, siasa zao za magamba na propaganda zake za udini zimefanya eneo hlo litengwe ktk mambo mengi, wameuza mali zote za kijiji wa makaburu,wananchi wamebaki kuwa manamba....km ndugu zake( wa kwa Athuman) wamemtenga wamehamia cdm bs amekwisha cuz ndio ngome pekee ilikuwa imebaki kwa eneo la kijiji kile.Bravo kaka Mbowe, charity begins at home...!
 
Back
Top Bottom