Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,980
Atakuwa alishuhudia. Si unajua Mbowe kawatafuna wengi Lumumba pale?Wewe ulitia saini hiyo bl. 10?ucpende kutumika kama karai
Atakuwa alishuhudia. Si unajua Mbowe kawatafuna wengi Lumumba pale?Wewe ulitia saini hiyo bl. 10?ucpende kutumika kama karai
Kwani ameenda ccm kupora nafasi ya mgombea urais kama alivyompora Dk Slaa?kwasasa Lowasa amewahonga CCM billion ngapi ili arudi CCM ???
Naam huyu ndo mbowe ninayemjua
KIONGOZI SHUPAVU WA UNAFIKI
akifuatiwa na LOWASSA mwenyewe
na inatufundisha kuwa, "kukurupuka na kuwapa nafasi watu kwa minajiri ya rushwa na uchu wa madaraka ni hatari"Hapo mbona hajatukanwa mtu ni ww tu na uelewa wako, kuwa upinzani kumemshinda ndo maana amerudi alikotoka so itakuwa kweli alilegea
Wala hajawahi kuwa chama chochote,bali kokote yupo kwa ajili ya haja zake tu. Na sasa huko alikokimbilia ni kwa ajili ya kulinda alichonacho tuLowasa hajawahi kuwa mpinzani, ila aliutumia upinzani kukidhi tamaa yake.
Ahonge anatafuta nini!kwasasa Lowasa amewahonga CCM billion ngapi ili arudi CCM ???
Mod ni wajomba zako ndio mana unatukana wao wako kimyaa mod shugurikia mtukanaji huyu anatuhalibia swaumGiza limeingia binuka wanene wa ufipa watindue hicho kinyeo .
Kenge wewe
Wakati anamuhonga lazima ulikuwepo chumbani, na lazima ulivuliwa nguo kama shahidi muhimu.Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa ndani wa Chadema mkoani Singida amesema Chadema ni taasisi na hata ukiondoka utaondoka wewe na mke wako na siyo chama.
Mbowe amemtolea mfano Edward Lowasa kuwa hakuyajua mateso ya kuwa upinzani na baada ya miaka miwili ya kuwa upinzani Lowasa alilegea kama mlenda!
My take..
Ni bora huyu Mbowe angeachana na kumtukana mzee Lowasa, wananchi bado wanakumbuka jinsi Lowasa alivyomhonga Mbowe billion 10 ili apewe nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema.
Kwani we Mbowe anakusukuma tope mbona umepanic hivyo kama yule basha wako vileUnafki unao wew,mwenyekt wako na mama yako.
Hapo singida kwa nyalandu kijiji kinaitwa mudidaUmefantikia wapi huu mkutano? Kenya?
immunityAhonge anatafuta nini!
kapungukiwa immunity?immunity
Mbowe hakukurupuka alitimiza lengo lake alivuta mshiko huku akijua mzee hawezi vuka mto wa kina kirefu..Mbowe anamaanisha Lowasa alikuwa muoga? Hapa Mbowe akubali tu kwamba alikurupuka kumruhusu Lowasa apeperushe bendera ya chama badala ya Dr. Slaa
Shoga mkubwa wewe ,kenge wa njanoWakati anamuhonga lazima ulikuwepo chumbani, na lazima ulivuliwa nguo kama shahidi muhimu.
Pole pole ndugu, vipi walikuingilia bila kupaka mafuta nini? maana sio kwa hasira hizo kwa mbowe na edward.Shoga mkubwa wewe ,kenge wa njano
Acha kutuaminisha uongo uwe mkweli.Lowassa kugombea kwa tiketi ya upinzani ulisaidia upinzani kuvuna kura zaidi ya 6M(PAMOJA NA WIZI WA KURA ULIOFANYWA NA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI AMBAO NI MAKADA WA CHAMA DOLA)slaa keshagombea uchaguzi m,ara mbili na safari zote hakuweza kupata zaidi ya 4M ya kura,next time ongea but facts zibakie hivyo,na elewa through Lowassa upinzani uliweza kuchukua uongozi wa zaidi ya majiji matatu,na majimbo zaidi ya uchaguzi.Na kama kweli wewe unaongea ukweli nipe reasons mbili tu za kuonyesha uchaguzi wetu always ni wa haki na huru.Mbowe anamaanisha Lowasa alikuwa muoga? Hapa Mbowe akubali tu kwamba alikurupuka kumruhusu Lowasa apeperushe bendera ya chama badala ya Dr. Slaa