Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

Nawewe umeamua kuwa comedian kama mbowe?!
Kweli Mbowe ni comedian. Ati Lowassa alikuja na watu, ameondoka na mke na watoto wake wawili ?😲😲 Yaani akia Mgeja, Nangole, Mpendazoe, Msindai na wengine waliokatwa mikia, sijui ndio hao watoto wake wawili? 😯😯
 
Elewa content mzee Mh Mbowe alikuwa ana address kikao cha ndani cha viongozi wa CHADEMA
Message inahusu kikao husika pia ni kweli CHADEMA ni taasisi ndio maana hata baada ya mawe yote ambayo serikali inarusha bado tupo Imara na kesho yetu ni nzuri kuliko jana

Mkuu Nanyaro nadhani sasa kama chama mmejifunza kuacha kupokea wanachama wa ccm dakika za mwisho na kuwapa nafasi za kugombea ndani ya chama. Pia kikubwa kwa sasa ndani ya chama ni vyema Mbowe akatoa nafasi kwa mtu mwingine kugombea uenyekiti. Lakini piga ua, huyo katibu mkuu hafai kama cdm inataka kutoka hapa ilipo. Hili la katibu mkuu tumelipigia kelele vya kutosha, tunashangaa kwanini mnaoneana aibu kuchukua hatua.
 
Mbowe namkubali sana alipokitoa chama mpk hapa kilipo,ila a-step down kwa sasa.

La sivyo atakua hana tofauti ma wakina Kagame,M7,Nkurunzinza tofauti yao ni yeye tu hana dola maana na wao wakiambiwa kutoka madarakani wanasema hawajaona mtu sahihi wa kumwachia nchi.

Mkuu Nanyaro nadhani sasa kama chama mmejifunza kuacha kupokea wanachama wa ccm dakika za mwisho na kuwapa nafasi za kugombea ndani ya chama. Pia kikubwa kwa sasa ndani ya chama ni vyema Mbowe akatoa nafasi kwa mtu mwingine kugombea uenyekiti. Lakini piga ua, huyo katibu mkuu hafai kama cdm inataka kutoka hapa ilipo. Hili la katibu mkuu tumelipigia kelele vya kutosha, tunashangaa kwanini mnaoneana aibu kuchukua hatua.
 
Mbowe anamaanisha Lowasa alikuwa muoga? Hapa Mbowe akubali tu kwamba alikurupuka kumruhusu Lowasa apeperushe bendera ya chama badala ya Dr. Slaa
Aha, bado unamkumbuka Slaa? Huyo hata millioni moja asingepata!
Lowassa kampeni yake ilikuwa mbovu, na hali ya mwonekano wake tu kuwa kama hana nguvu mwilini...iliondoa matumaini kabisa.
Watu wakasome sera kwenye 'website'? Tena mkutano wa kwanza kabisa wa kufungua kampeni?

Mzee wa watu alikuwa na mengi yaliyomharibikia katika kampeni zile.

Hapakuwa na 'Lowassa' yule mwenye siha na mwenye nguvu nyingi kama yule aliyeanza naye Kikwete kama Waziri Mkuu.

Yule Lowassa wa 'kasungura" ka taifa, hakuwepo tena.
 
Elewa content mzee Mh Mbowe alikuwa ana address kikao cha ndani cha viongozi wa CHADEMA
Message inahusu kikao husika pia ni kweli CHADEMA ni taasisi ndio maana hata baada ya mawe yote ambayo serikali inarusha bado tupo Imara na kesho yetu ni nzuri kuliko jana

Chadema wakubali waliingia mkenge yaishe, yaani mtu amekulia CCM akalelewa CCM mpaka anakuwa waziri mkuu unaamini uzeeni atakuja upinzani akusaidie kuiondoa CCM Kwa watz sahau labda nchi za wenzetu, watz huwa hatumtupi aliyetuleta kwenye mafanikio, bado Yule mwingine kuna siku atarudi Tu akijitambua.

Tanzania ukitaka kufanikiwa kwenye siasa tengeneza watu wako kama chadema ilivyofanya mwanzo, chama kilikuwa na nidhamu, kilitengeneza vijana machachari waliokuwa wakisimama bungeni serikali inatetemeka lakini baada ya kuwakaribisha mamruki Leo hii chama kimebaki na wanaojua kutukana na wakikamatwa ndio kinahangaika kuwatetea kwamba wameingiliwa Uhuru wao (chadema mdude).

Mbowe aachane na mambo ya kumuongelea Mzee akubali aliingia mkenge wajipange upya akini pia wakubali Kwa katibu wa chama waliingia Choo cha kike watafute katibu mwingine anayeweza siasa huyu wa sasa ni butu huyu hatoshi kuvaa viatu vya slaa.
 
H
Kweli Mbowe ni comedian. Ati Lowassa alikuja na watu, ameondoka na mke na watoto wake wawili ?😲😲 Yaani akia Mgeja, Nangole, Mpendazoe, Msindai na wengine waliokatwa mikia, sijui ndio hao watoto wake wawili? 😯😯
Huna record kaa kimya, mpendazoe na Lowassa nani alitangulia kukatwa mkia? Just one reference
 
You are too young to understand things, Kwani huyo Mbowe nakuwa CCM?

Vijana wa sikuhizi hebu kama hamjui vitu ulizeni Basi kwanza, kabla ya 1992 kila mtu over 18 alikuwaga mwana CCM me inclusive!

Hatukuwa huko kwa utashi au mapenzi bali kwa lazima na matakwa, wengine walikuwa viongozi si kwa kuipenda CCM na mifumo yake Bali ni kwa kupenda uongozi elewa hilo kwanza.

CCM ni chama cha ujamaa, hebu waulize hao watu wako kuna mjamaa yeyote kati yao zaidi ya mwalimu pekeyake?

Wengine si wajamaa ila ni mifumo na vyeo vimewaweka huko, tusio wanafiki tuliondoka na hutukipendi hicho chama.
Chadema wakubali waliingia mkenge yaishe, yaani mtu amekulia CCM akalelewa CCM mpaka anakuwa waziri mkuu unaamini uzeeni atakuja upinzani akusaidie kuiondoa CCM Kwa watz sahau labda nchi za wenzetu, watz huwa hatumtupi aliyetuleta kwenye mafanikio, bado Yule mwingine kuna siku atarudi Tu akijitambua.
Tanzania ukitaka kufanikiwa kwenye siasa tengeneza watu wako kama chadema ilivyofanya mwanzo, chama kilikuwa na nidhamu, kilitengeneza vijana machachari waliokuwa wakisimama bungeni serikali inatetemeka lakini baada ya kuwakaribisha mamruki Leo hii chama kimebaki na wanaojua kutukana na wakikamatwa ndio kinahangaika kuwatetea kwamba wameingiliwa Uhuru wao (chadema mdude).
Mbowe aachane na mambo ya kumuongelea Mzee akubali aliingia mkenge wajipange upya akini pia wakubali Kwa katibu wa chama waliingia Choo cha kike watafute katibu mwingine anayeweza siasa huyu wa sasa ni butu huyu hatoshi kuvaa viatu vya slaa.
 
😁 et tulimhifadhi,mbona Mamvi hata kabla ya kwenda huko alikuwa wautepete shida n chama kufanywa ghala la kuhifadhia rejects
 
Mbowe wakati anampokea lowasa alisema lowasa hakuja mwenyewe , amekunja na wafuasi zaidi ya 100 sasa ana amini kuondoka eti kaondoka mwenyewe.. kituko .. halafu chadema ni taasisi kweli .. kama sio kikoba cha machame
Hoja?
 
Karama ya uongeaji anayo.Ila sasa ni wakati wa ku stape down awaachie na wengine
 
You are too young to understand things, Kwani huyo Mbowe nakuwa CCM?

Vijana wa sikuhizi hebu kama hamjui vitu ulizeni Basi kwanza, kabla ya 1992 kila mtu over 18 alikuwaga mwana CCM me inclusive!

Hatukuwa huko kwa utashi au mapenzi bali kwa lazima na matakwa, wengine walikuwa viongozi si kwa kuipenda CCM na mifumo yake Bali ni kwa kupenda uongozi elewa hilo kwanza.

CCM ni chama cha ujamaa, hebu waulize hao watu wako kuna mjamaa yeyote kati yao zaidi ya mwalimu pekeyake?

Wengine si wajamaa ila ni mifumo na vyeo vimewaweka huko, tusio wanafiki tuliondoka na hutukipendi hicho chama.
Wewe hukufikia level ya akina Lowassa uliondoka mapema hata Mbowe hakufikia hiyo level, ukifikia level ya PM kuna mambo mengi ya siri ya utawala WA nchi unayajua na ikiwezekana umefanikiwa kwenye maisha yako binafsi either Kwa kunufaika na huo mfumo au Kwa kuwa na madaraka makubwa na ndio hao tunaongelea, hivi unafikiri Sumaye bila PM angekuwa na hayo mashamba anayomiliki? Au Lowassa angekuwa na hizo hisa za Voda? Watu wa kutoka CCM na kupigana vita ya kweli ni wale wananchi wa kawaida sio hao akina Sumaye na Lowassa
 
Mbowe anamaanisha Lowasa alikuwa muoga? Hapa Mbowe akubali tu kwamba alikurupuka kumruhusu Lowasa apeperushe bendera ya chama badala ya Dr. Slaa
Kama Lowassa alikuwa muoga na Slaa aliyejitoa upinzani nae tumwiteje?
 
Freeman Mbowe akihutubia mkutano wa ndani wa Chadema mkoani Singida amesema Chadema ni taasisi na hata ukiondoka utaondoka wewe na mke wako na siyo chama.

Mbowe amemtolea mfano Edward Lowasa kuwa hakuyajua mateso ya kuwa upinzani na baada ya miaka miwili ya kuwa upinzani Lowasa alilegea kama mlenda!

My take..
Ni bora huyu Mbowe angeachana na kumtukana mzee Lowasa, wananchi bado wanakumbuka jinsi Lowasa alivyomhonga Mbowe billion 10 ili apewe nafasi ya kugombea urais kupitia Chadema.
 
1.5 TRILLION ALIHONGWA NANI?
 
Back
Top Bottom