Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

Mbowe aeleza machache kuhusu kuondoka kwa Lowassa

Hao ndio chadema na mbowe wao yaani wameila hela ya Lowasa Hadi ikaisha Sasa mbowe na genge lake wanamponda baada ya kuona kaishiwa hela Hana za kuendelea kuwapa.Sumaye chunga mfuko wako usimwage mwage pesa kwa hao watuzikiisha na wewe jiandae kupondwa Kama Lowasa.Nyalandu na wewe chunga mfuko wako.Mbowe swala la Lowasa alitakiwa akae kimya tu au aseme Ni haki yake ya kidemokrasia alichofanya Lowasa.Full stop.Siyo kumponda vile.Mbowe hajamtendea haki Lowasa

Da kuna watu hawana aibu aisee sijui Mrema yule jama aliyekula hela ya lowasa anajisikiaje
 
Lakini mbowe hakupswa kumsema lowasa hivyo jamaa hana shukuran sijui ndo kupanic hivyo
 
Mod ni wajomba zako ndio mana unatukana wao wako kimyaa mod shugurikia mtukanaji huyu anatuhalibia swaum
hee
IMG_20190521_172330.jpg
 
Eti mzee wa mabadiliko kawa mlenda?!! Wapi Frederick?
 
Wewe nawe wa ajabu kwelikweli. Kwa hiyo chadema ilivyo hivi sasa ni ya wazee?? Hivi unajua kuwa asilimia kubwa ya viongozi wa chadema ni vijana? Lakini pia si ndio hao hao vijana wanakengeushwa na matonge na kukisaliti chama? Yuko wapi Zito, Kafulila, Shonza, Mwigamba, Katambi na vijana wengine wa enzi hizo? Au unataka chama kikabidhiwe kwa watoto wa shule ndio ujue kuwa kuna vijana? Nadhani umeandika hii comment kabla ya kula. Kula kwanza halafu uisome upya, najua utairekebisha.

Mbowe namkubali saaana lakini Kuna haja sasa kutoa nafasi Kwa sura mpya yeye abaki kama mshauri mkuu na kujapanga kupigania nafasi ya Uraisi pia
 
Mbowe namkubali saaana lakini Kuna haja sasa kutoa nafasi Kwa sura mpya yeye abaki kama mshauri mkuu na kujapanga kupigania nafasi ya Uraisi pia
What is sura mpya bwana? Yaani katika turbulence hii ya kisiasa kwa sasa unataka chama kifanye majaribio? Ndio pale mmemaliza kumuweka mwenyekiti mpya tu halafu baada ya wiki anawaambia anaunga mkono juhudi, hahahaha!!! acha masihara ndugu. Muda utafika tu na mabadiliko yatafanyika bila shaka.
 
Chama sasa si kidogo na ni chama mbadala baada ya CCM,Nategemea kiwe na sura ya kidemokrasia ya kuachiana vijiti.Napata kigugumizi sana ninapoona Jina moja hilo hilo miaka lukuki.Mbowe anaushawishi ni vema akajiwekea malengo ya kupigania uraisi 2025 lakini mchakato ukaanza Sasa Kwa kujijenga. Awe mzee wa chama na chama kimuandae
 
Huyu Mangi mwenzangu sijui kawapa kilevi gan wanachama wa hiki chama maana wanamkubali kuliko wazazi wao, yaan anagoma kusema alipuyanga kumleta mamvi anajitetea kijinga na majamaa yanapiga makofi
 
Back
Top Bottom