saa 3 kamili za asubuhi au mchana?
Siku hiz mbna mmepotea jukwaan ...Eeeh!
Haya!
Jicho lipi umanishalo wewe ?!Langu jichoo
Aaaf Mama Mdogo comment zake nazo mmmh. Ndo maana huwa nikiona tu kaandika kitu huwa sipiti wima yaani hadi nisomeJamani, mwacheni binti huyu ni mjasriamali msimbatize kwamba yeye ni jamvi la wageni. Mwanamke akiwezeshwa anaweza!!!