Mbona wasema kosa langu?

Sasa umeolewa na una mme unayesema unampenda. Tumekutana baada ya miaka hii yote. Tulikuwa marafiki wa karibu hadi watu "walidhania". Sasa tumekutana unanilaumu.. kwanini sikukuomba moyo wako. Umesahau kuwa ni wewe uliyekuwa ukiniita "kaka"..? Leo wanilaumu wadai kuwa ulikuwa unasubiri nikuombe....

sijui nilie, nicheke, au nisikitike?

Hii tamu.
 
wasema kweli? unamanisha watu watoke nje ya ndoa zao kama hakuna faraja ndani ya ndoa?
mi nafikiri kuna haja ya kuwa na ndoa za mikataba sasa, au mwaonaje jamani?

Happyness and satisfaction ni miongoni mwa basic rights, everyone deserves happyness. Sijasema watu waende nje ya ndoa zao, nimesema seek happyness where your heart belongs.

Alishindwa Eva, alieumbwa na Mungu mwenyewe, tunda likamegwa, itakuwa sisi?.
 
MM kwani amekuwambia uoe, si anataka upite mara moja tu Mzee wangu???. Hujui kwa nini alikuwa anakuita kaka wakati huo, labda ulikuwa vry Serious, au ile ya kishule shule "Kaka na dada". Hiyo haikubani, kwani wana wa kwanza wa Adamu na Eva waliongezaje dunia nao walikuwa ni wa baba mmoja???...Ebu tuliza moyo, mfikirie dadako anavyoumia kukuona hapo ulipo na unaweza kumsaidia lakini wamkwepa, plseeeeee, piga moyo konde...huo ndo utu mwema wenyewe na thawabu utapata!.
 
ameshamega huyu , asizuge hapa. kamega, kang'ang'aniwa kuwa bibie aanataka kun'gatuka aliko ili ahamie kwa MM. sasa MM kijasho kinamtoka.halafu kalamba jokeli MM. huyu bibie me namjua vizuri sana
 
Jaribu tena mkuu utafanikiwa,huwa hawakubali mapema. Wanapenda kuona umenyesha 'effort' f'lani kisha unamega kisela.
 
Nadhani hawa wadada ndio walivyo mkuu.....inabidi uongeze ujanja wa zaida..Hiyo kaka wala isikusumbie sana kichwa maana hiyo kaka kuna neno ame hide hapo na kuamua kukuita kaka...ila sio mbaya kama umekutana nae na kukuambia hivyo then wala usijali kama vipi mtoe out hata kama mke wa mtu si ametaka mwenyewe bana kwanza ulimfata...Then mgonge mara 2 alafu mpotezee...Alafu na wewe jifanye busy maana na uchungu wako utakuwa umeisha na ukishamgonga mpotezee kabisa maana usijepata matatizo........
 
Pole MM u missed it all lol...the way i can see uko vyema sana..so it makes me wonder how comes u could not read btn the lines lol...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom