Elections 2010 Mbona sioni watu wakisheherekea kuapishwa kwa rais wao mpendwa?

kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
4,235
4,943
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine wakiwa kwenye daladala ndo wanashangaa wanaposikia radio ikitangaza.
 
si hawakupiga kura....waliopiga hawazidi milioni 15....watz wapo zaidi ya ml 40... may be waliopiga ni wa vijijini tu
 
Wanaomboleza machungu watakayopata kwa muda wa miaka mitano ijayo.
 
Nafikiri wewe umechelewa! Wao wanfikiria watakula nini, fedha yote hazina imechotwa kwa ajili ya kampeni!! Hata huyo aliyeapishwa hana amani, miaka mitano tu iliyopita aliitwa kipenzi, sasa hivi kawa mwizi! kuna amani hapo mkuu?
 
People are tired, they decided to stay home thinking of how they are going to go about in the coming five years with this same government which has caused them much suffering in the past five years,,,,,,,,,,this should be a lesson To CCM kama kunawasomi ndani ya chama watakuwa wameliona hili
 
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine wakiwa kwenye daladala ndo wanashangaa wanaposikia radio ikitangaza.

Tokea jana (NA SIO JANA TU TANGIA UCHAGUZI ULIPOFANYIKA) kila nikipita mjini (VIJIJINI KUMBE HUKWENDA? NA SEHEMU GANI ULIPITA ZITAJE) watu wapo busy (SIO KWELI MBONA SIE TUMEPUMZIKA ) na shughuli zao na mji upo kimya ( TANGIA JANA WATU WAMEKESHA WW NDIO UNALALA MAPEMA NA UNAKAA NJE YA MJI) kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais (JK CHAGUO LA WATANZANIA WALIO WENGI , WEWE HAUMO LAKINI) wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami (CCM OYEEEEEEEEE) . Watu wengine wakiwa kwenye daladala (KWENYE NDEGE JE ?) ndo wanashangaa (WANAFURAHIA KIMOYOMOYO) wanaposikia radio ikitangaza (JK NI MSHINDI NA WAKAANZA KURUKA RUKA NA KUFURAHI)
 
Watanzania si majuha tena kusherehekea mauti yao. Huu ni ushahidi kuwa Kikwete kachaguliwa na wachakachuaji na mafisadi wenzake wakiongozwa na NEC. Tangu mwanzo hakuwa kipenzi cha Mungu bali kipenzi cha mafisadi waliomwingiza madarakani. Ila kuna siku ukweli utafichuka na ataaibika. Maana historia haiandikwi upya.:llama::llama::llama::llama:
 
Tokea jana (NA SIO JANA TU TANGIA UCHAGUZI ULIPOFANYIKA) kila nikipita mjini (VIJIJINI KUMBE HUKWENDA? NA SEHEMU GANI ULIPITA ZITAJE) watu wapo busy (SIO KWELI MBONA SIE TUMEPUMZIKA ) na shughuli zao na mji upo kimya ( TANGIA JANA WATU WAMEKESHA WW NDIO UNALALA MAPEMA NA UNAKAA NJE YA MJI) kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais (JK CHAGUO LA WATANZANIA WALIO WENGI , WEWE HAUMO LAKINI) wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami (CCM OYEEEEEEEEE) . Watu wengine wakiwa kwenye daladala (KWENYE NDEGE JE ?) ndo wanashangaa (WANAFURAHIA KIMOYOMOYO) wanaposikia radio ikitangaza (JK NI MSHINDI NA WAKAANZA KURUKA RUKA NA KUFURAHI)

CRAP than ever
 
Tokea jana kila nikipita mjini watu wapo busy na shughuli zao na mji upo kimya kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami. Watu wengine wakiwa kwenye daladala ndo wanashangaa wanaposikia radio ikitangaza.

watasherekeaje wakati hawakumchagua
 
ukweli uko wazi, ukiiba hata dhamira yake inamsuta wacha watu, watu wamejua kumbe Kikwere ndiye anayewanyonya thru mafisadi, he is part and parcel ya mafisadi, pamoja na kuiba kapata mil 5, imagine watu waliojiandikisha ni 20 mil, wameiba na kutoa majina ya watu wengi wasipige kura, watu hawampendi, bidhaa, hali ya maisha ni ngumu mno sasa, ALIOPULIZWA WHY TZ IS POOR, KASEMA HTA YEYE HAJUI, YAANI NAUMWA KICHWA MARA MOJA NIKISIKIA HILI, ELIMU, AFYA, KUJENGA NYUMBA GHALI MNO, MM KILA SIKU NA HASIRA BALAA, HALAFU THERE SOME HOPELESS WANASHABIKIA, LET'S BE TRUE, MKWELI HAWEZI KUSHABIKIA HALI YA MIAKA 5 ILIYOPITA, CCM MATUMBO HAYOOO, WANANCHI UFUKARA HUO, SHHHHHHHHHHHIT
 
Tokea jana (NA SIO JANA TU TANGIA UCHAGUZI ULIPOFANYIKA) kila nikipita mjini (VIJIJINI KUMBE HUKWENDA? NA SEHEMU GANI ULIPITA ZITAJE) watu wapo busy (SIO KWELI MBONA SIE TUMEPUMZIKA ) na shughuli zao na mji upo kimya ( TANGIA JANA WATU WAMEKESHA WW NDIO UNALALA MAPEMA NA UNAKAA NJE YA MJI) kama vile leo hakuna tukio muhimu la kuapishwa Rais (JK CHAGUO LA WATANZANIA WALIO WENGI , WEWE HAUMO LAKINI) wao kipenzi aliepita kwa kura za kishindo/tsunami (CCM OYEEEEEEEEE) . Watu wengine wakiwa kwenye daladala (KWENYE NDEGE JE ?) ndo wanashangaa (WANAFURAHIA KIMOYOMOYO) wanaposikia radio ikitangaza (JK NI MSHINDI NA WAKAANZA KURUKA RUKA NA KUFURAHI)

Huwezi kumsherekea mtu ambaye hukumchagua,na ndiomaana hata dk sl hajaenda kwenye unafki huu
 
Kwa kweli nimeshtushwa na hii sherehe na sioni sababu ya kufurahia coz i dont know what he will do for us in these fiv years, kama kipindi cha kwanza waliiba hivyo sasa hivi si ndio wataiba zaidi na kupiga deki kabisa ilil kisibaki kitu,SIJAFURAHIA na hata Kikwete mwenyewe hana raha coz anjua anatutawala kinguvu nguvu lakini hana jipya....
 
Huwezi kumsherekea mtu ambaye hukumchagua,na ndiomaana hata dk sl hajaenda kwenye unafki huu
Huwezi kumsherekea (MBONA SIE TUMESHEHEREKEA TENA MPAKA ASUBUHI) mtu ambaye hukumchagua (AMECHAGULIWA NA WENGI 61.17% NI USHINDI WA SUNAMI),na ndiomaana hata dk slaa (ANA HASIRA AMEBWAGWA ALIDHANIA URAIS MCHEZO, AMEFUNDISHWA ADABU NA JK) hajaenda kwenye unafki (SHEREHE ADHIMU YA KUAPISHWA RAIS JK KIPENZI CHA WATANZANIA) huu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom