kwahyo ana pepo mchepuko.
Sehemu muhimu?
Anamaanisha kwa mapedeshee!
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.
Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.
Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?
Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?
Ulikua kwa mchepuko gani? nimekutafuta sana, ivi hu mzima wewe?
Wadau naomba ushauri wenu. Mimi ni binti wa miaka 24, kila nikipendwa napendeka haswaaa lakini inafika kipindi namchoka kupita kiasi huyo anipendae.
Inafikiaga hadi hatua ya kutaka kuletewa barua lakini huwa mimi mwenyewe na kataa. Naikifika kipindi huyo mchumba ninae mkataza kuleta barua akighaili mimi ndio nakuwa tayari.
Sasa naomba mnisaidie jamani, hili ni pepo au nini?
Na kama nipepo mbona mimi ni muumini mzuri sana wa dini yangu?
Kila dini ina Mungu wake,hivyo mchunguze mungu wa dini yako kwa jicho la tatu,by the way hiyo sio hali ya kawaida hata kidogo kipimo rahisi fuatilia mada za wakaka wanavyowalalamikia wadada kwa kuwapressurize juu ya ndoa ndani ya kipindi kifupi utapata picha kwamba hio sio hali ya kawaida,tatizo lako ni la kiroho na utatuzi wake hauna budi kuwa wakiroho pia,na hii ndiyo sababu Damu ya YESU KRISTO ilimwagika pale msalabani, hakusita kulijitoa hata mauti yake kwa ajili ya uzima wa nafsi zetu akijua kwamba bila hivyo wanadamu ni "halali ya shetani"
Kuwa muumini.mzuri wa dini yako sio guarantee ya kutoingiwa na mapepo...
Utakuwa na pepo la mahaba ambalo linakusababisha usiolewe, muone kiongozi wako wa dini mpe undani wa tatizo lako na atakufungua!
Ukicheza hutokaa uolewe....