Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

Umesikia akiyasema hayo, au ni wewe umeona uyawasilishe kwa niaba yake.

"Kipaji" chako ni nini hasa; kutambua ya wengine na kuyawasilisha kwa niaba yao? "Ubingwa" wako ni katika mambo yapi; umbeya?
kipaji changu ni kula mbususu za wazee kama mama yako
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
Ni kweli hakuna sheria inayoiwezesha Mahakama kumlazimisha DPPP, lakini Mahakama ina uwezo wa kutumia sheria inayoiwezesha kulinda haki, na katika kulinda haki hapo huweza kuuagiza upande wowote, iwe DPPP au yeyote yule kama utaona kuna upande unatumia vibaya nafasi yake huku upande mwingine ukionewa na haki zake kuminywa.

Ni vile Mahakimu wa Mahakama zenu ni aina ya watu ambao ukiligeuzwa swali tu umewa vuruga.
Ni Mahakimu ambao kama ukiwauliza hivi

2 x 4 = ? Watakujibu vizuri sana hili swali.

Lakini hakuna atakayeweza kujibu ukiandika hivi
2
X4

Pia wanaweza wakajibu ukiwauliza 7 x 2, lakini wakakosa ukiuliza 2 x 7.
 
Write your reply...lissu ana kipaji cha ubishi na kuongea ndio kinachowapumbaza wengi wakidhani yeye ndio bingwa wa sheria nchini
Hao mabingwa wenu wa sheria si mngewapeleka kushinda kwenye zile kesi za kimataifa tunazoshindwa kila siku?
 
Ni kweli hakuna sheria inayoiwezesha Mahakama kumlazimisha DPPP, lakini Mahakama ina uwezo wa kutumia sheria inayoiwezesha kulinda haki, na katika kulinda haki hapo huweza kuuagiza upande wowote, iwe DPPP au yeyote yule kama utaona kuna upande unatumia vibaya nafasi yake huku upande mwingine ukionewa na haki zake kuminywa.

Ni vile Mahakimu wa Mahakama zenu ni aina ya watu ambao ukiligeuzwa swali tu umewa vuruga.
Ni Mahakunu ambao kama ukiwauliza hivi

2 x 4 = ? Watakujibu vizuri sana hili swali.

Lakini hakuna atakayeqeza kujibu ukiandika hivi
2
X4

Pia wanaqwza wakapata ukiwauliza 7 x 2, lakini wakakosa ukiuliza 2 x 7.
Mahakama ni kama hatuna kuna matawi ya CCM
 
Mahakama za Tanganyika zinaendeshwa toka jumba jeupe, yaani ule mhimili uliojichimibia mizizi kwenye mihimili mingine yote.
 
Mahakama na DPP tutawalaumu bure hapo, kulikua na sheria iliyokua inaruhusu mahakama kumwachia mtuhumiwa kama upelelezi unachelewa, lakini bunge likaibadili ile sheria na kuiondolea mahakama nguvu ya kumwachia mtuhumiwa. Kiufupi hapo Lissu anaweza kukaa jela hata miaka 10 na ikawa kwa mujibu wa sheria.....Tuna sheria za hovyo sana. Wabunge ndo wametufikisha hapa kupitisha sheria bila kuelewa madhara yake sababu wanaona hizi sheria haziji kuwagusa wao.
Je wanasherianhawakuwepo bungeni kuona hilo pengo??
 
Back
Top Bottom