Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

Mbona ni kama mahakama inaendeshwa na DPP?

Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
Wote wafanyao hila na UOVU dhidi ya haki na mwenye haki, ujumbe wao ni huu 👉👉WATASHINDANA WEEE LAKINI HAWATASHINDA. Imeandikwa mahali fulani kwenye kitabu kitakatifu cha Mungu - Biblia
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
Sio Kama mahakama inaendeshwa na anayemuenda dpp. Wote wawili wanaendeshwa kwa pamoja.
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
Kwani hujui iwapo kama ni sehemu ya mhimili uliojichimbia zaidi na upo ndani yake na unafanya kazi zake?
 
Sijui Sheria lkn nikana kwamba hakimu anaendeshwa. DPP anaamua anachotaka halafu kinakubaliwa.

Baaasi
pp siku moja nikiwa mahakamani mshitakiwa moja ilipofka mda wa kuoewa mdhamana barua iliyokuwa aina makosa pp alisema tu imekosema hakimu akasema arudi runande hata bila kuiangalia barua ile ndioo nilipo jua kuna seti pale usipo kaa nazo vizuri uchomoki
Hakimu
Pp
Na kuna karani wa hakimu
 
Back
Top Bottom