Nashangaa sana tanesco walitangaza kipindi cha nyuma siku kumi za mayengenezo kwamba zikiisha hakuna tena mgao, lakini cha ajabu Mwanza mgao wa Umeme haujawai kuisha mpaka leo, umeme unakatika saa mbili asubuhi unarudi saa kumi na mbili jioni, pengine unakatika saa kumi na mbili jioni unarudi asubuhi,
Serikali ya awamu ya sita imeshindwa kabisa hili swala la umeme, mnatia sana hasira mnataka tu kodi hamjiulizi kukosa umeme mnakwamisha shughuli zetu za uzalishaji?
Vitu vingine ni mabifu tu yasiyo na tija kilichomtoa kalemani wizara ya nishati ni nini? mnatuwekea watu ambao hata hajui kazi zao?
Mnatia hasira serikali la awamu hii limechoka sana tutavumilia tutachoka ukweli usemwe hakuna kupeana sifa zisizokuepo hapa