HUSSEN KAMBI
Senior Member
- Dec 4, 2023
- 175
- 212
Kama nilivyosema hapo juu naomba kwa anayejua maana ya mgawo naomba anifahamishe.
Mimi nilijua mgao maana yake kidogo kidogo kila mtu apate na kama hii ndiyo maana ya mgao basi Tanzania hakuna mgawo wa umeme, kilichopo nani tumpe umeme na nani tumnyime,
Kwasababu gani nimesema hivyo mimi maeneo ninayo kaa kuna line mbili tofauti cha ajabu line yetu kila siku umeme lazima ukatike kama sio saa 12 asubuhi basi saa 12 jioni kila siku ipo hivyo.
Lakini line ya wenzetu kwa week umeme unakatika mara mbili baada ya siku tatu unakatika asubuhi unarudi 12 baada ya hapo haukatiki tena mpaka siku tatu zipite ndio maana nauliza nini maana ya mgao