Mbona Mbeya hakuna JF wing?

Mbona Mbeya hakuna JF wing?

umetaja chache Heaven on Earth, pole kwa kuugua!
wale wote wa:
Uyole, RRM (nanenane), Sae, Mama J, Ilomba, Kabwe, Isanga,
Makunguru, Sangu, Airport, Magorofani, Kadege, Forest, Meta, Nzovwe,
Itende, Kalobe, Nonde, Ilemi, Ruanda, Sinde, Makongorosi, Vywawa, Tunduma,
Igawilo, Lujewa, Kiwira, KKK, Tukuyu, Ushirika, Kasumulu, Ikuti, Itumba, Sange, Kibwe........
CC: Lady doctor

Heaven on Earth kataja chache hivyo wakati Mbeya ni kubwa aisee...... Halafu kabla sijaja Arusha nilipita tena kwenu aisee nikaenda hadi kwenye ile milima miwili kwenye vyanzo vya maji ila nilishindwa kupanda mwenzio...
 
Last edited by a moderator:

Ungenambia mapema ningekufikisha mpaka kileleni kabisa. Ungefurahia kwa hakika.
 
Last edited by a moderator:
umetaja chache Heaven on Earth, pole kwa kuugua!
wale wote wa:
Uyole, RRM (nanenane), Sae, Mama J, Ilomba, Kabwe, Isanga,
Makunguru, Sangu, Airport, Magorofani, Kadege, Forest, Meta, Nzovwe,
Itende, Kalobe, Nonde, Ilemi, Ruanda, Sinde, Makongorosi, Vywawa, Tunduma,
Igawilo, Lujewa, Kiwira, KKK, Tukuyu, Ushirika, Kasumulu, Ikuti, Itumba, Sange, Kibwe........
CC: Lady doctor

igawilo hapa!green city standup
 
Mkutano lini wadau wa Mbeya? Mie mwenyewe nipo ndani ya Jiji la Kijani.
 
Back
Top Bottom