IROKOS
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 10,182
- 7,844
....Wewe unafanya TRA?Hizi taarifa wewe umetoa wapi au ndio kutudhiirishia matatizo yako ya akili?!
....Wewe unafanya TRA?Hizi taarifa wewe umetoa wapi au ndio kutudhiirishia matatizo yako ya akili?!
....Sisi wananchi tunasema ni lazima!!!kwani lazima?
...Haupo kisheria lakini ndiyo utaratibu tuliojiwekeaKama walivyoanzisha bila kushauriana na yeyote na ndivyo wamesitisha bila kushirikiana na yeyote,huo utaratibu haupo kisheria kwa hiyo hatuna haki ya kuhoji
Utaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
Hivi hawa wanaosema haupo kisheria, hawajiulizi mbona walikuwa wanatuambia kila mwezi?...Haupo kisheria lakini ndiyo utaratibu tuliojiwekea
Hasira zenda kwa watoto walopata ujauzitoMakusanyo yamedoda
Kwani kutangaza mkuu kuna gharama hapo? Au Mimi ndo sielewigharama za kutangaza,ni kubwa kuliko hata icho wanachokusanya kwa sasa
Sasa kama makusanyo yamedoda bajeti ya mwakani tutaitekeleza vipi? Hapa lazima tuendelee kuisoma nambaMakusanyo yamedoda
IMF wenyewe wamesema haitekelezekiSasa kama makusanyo yamedoda bajeti ya mwakani tutaitekeleza vipi? Hapa lazima tuendelee kuisoma namba
Zilikuwa ni kiki za msimu tuToka tri hadi bilio?
Sasa hivi wanaogopa hadi kivuli chaoZilikuwa ni kiki za msimu tu
Mbwembwe kwishaaaaaskuna vitu vingine havihitaji mbwembwe na sifa za kijinga, mapato yameshuka sana so wanaona aibu kutangaza kiduchu kilichopatikana, kwishney
Nani kabisha?Mm naona bora wasitangaze maana watu tayari mmekuja na makusanyo yenu tayari hivo hata wakitoa mtaendelea bisha.kuna kipindi walitoa mkadai ya kupika sasa mnayataka ya nini kama mlishajisemea ya kupika?watu hamna jema wakitoa mnasema vibaya wasipotangaza mnawasema vibaya