Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Wewe hutaki kujishuhulisha tu. Nenda kwenye website ya benki kuu. Kuna taarifa ya kila mwezi. Unapata kila kitu ndugu yangu. Makadirio, mapato na matumizi ikiwemo vyanzo vyote vikubwa vya kodi. Utaangalia pia na wale waliosema kodi itapunguza watalii-unaweza kuwapigia simu kuwauliza kuna nini tena; mbona imekuwa hivyo. Wanakuwekea mpaka ya Zanzibar. Hii inaitwa efficiency; tunaondoa process ambazo hazibadilishi matokeo. Haikuwa na haja ya TRA kukaa,kuprocess na kutangaza na wakati huo huo benki kuu wanakaa, wanaprocess na wao wanatangaza.

Basi waambie wale wotewenye uwezo kama were wa kuweza kuingia JF waingie website ya BOT
Acha sound dogo.. TRA walikuwa na utaratibu wa kuweka makusanyo kwenye website yao lakini sasa yapata mwezi wa tano hakuna update yeyote..
 
Wewe hutaki kujishuhulisha tu. Nenda kwenye website ya benki kuu. Kuna taarifa ya kila mwezi. Unapata kila kitu ndugu yangu. Makadirio, mapato na matumizi ikiwemo vyanzo vyote vikubwa vya kodi. Utaangalia pia na wale waliosema kodi itapunguza watalii-unaweza kuwapigia simu kuwauliza kuna nini tena; mbona imekuwa hivyo. Wanakuwekea mpaka ya Zanzibar. Hii inaitwa efficiency; tunaondoa process ambazo hazibadilishi matokeo. Haikuwa na haja ya TRA kukaa,kuprocess na kutangaza na wakati huo huo benki kuu wanakaa, wanaprocess na wao wanatangaza.

Basi waambie wale wotewenye uwezo kama were wa kuweza kuingia JF waingie website ya BOT
Acha hizo we jamaa, jana nime ingia website ya BOT sijaona kitu kama hiyo
Hamna kitu hapo, TRA wenyewe hata kwenye website yao wako kimya.
 
Ili makusanyo yafikie malengo, wameamua kutaifisha kontena zaidi ya mia mbili za mchanga ili wazipige mnada kinguvu... Nchi hii ni ya kisanii sana. Yani ni bora ng'ombe akamuliwe hata damu kama hatoi maziwa...
Akili ya aina hii ni tatizo kwa nchi.
Kwa hiyo Wewe unaona poa kuibiwa?

Lipi Jema viongozi wetu wafanye mlipongeze?

Expectations zako ni zip kwa viongozi wetu?
Msiwe kama Manyumb&&& ktk issues za msingi
 
Kama hayapo watoe taarifa gani ? Labda wanasubiri traffic !
 
Wewe hutaki kujishuhulisha tu. Nenda kwenye website ya benki kuu. Kuna taarifa ya kila mwezi. Unapata kila kitu ndugu yangu. Makadirio, mapato na matumizi ikiwemo vyanzo vyote vikubwa vya kodi. Utaangalia pia na wale waliosema kodi itapunguza watalii-unaweza kuwapigia simu kuwauliza kuna nini tena; mbona imekuwa hivyo. Wanakuwekea mpaka ya Zanzibar. Hii inaitwa efficiency; tunaondoa process ambazo hazibadilishi matokeo. Haikuwa na haja ya TRA kukaa,kuprocess na kutangaza na wakati huo huo benki kuu wanakaa, wanaprocess na wao wanatangaza.

Basi waambie wale wotewenye uwezo kama were wa kuweza kuingia JF waingie website ya BOT
Nashangaa hupati likes hapa!
 
Akili ya aina hii ni tatizo kwa nchi.
Kwa hiyo Wewe unaona poa kuibiwa?

Lipi Jema viongozi wetu wafanye mlipongeze?

Expectations zako ni zip kwa viongozi wetu?
Msiwe kama Manyumb&&& ktk issues za msingi
Una ubongo mdogo kama kalio la Panya. Nimekupuuza!
 
Inamaana husikii taarifa ya kamanda Mpinga! Makusanyo ya tragic cases ndio mpango mzima.
 
Zilikuwa ni movie za kutunga sasa hali halisi inaonesha utofauti na makusanyo hawasomi tena Ng'o
We jamaa huenda ikawa umenena kweli.......!ebu ngoja niendelee kugonga bia tatu.....!namsubiri lizaboni maana toka mjomba kanyooshewa bastola hasikiki....!
 
Back
Top Bottom