Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Data zipo, sema uelewa wako ni mdogo subiri magazeti labda yatakuelewesha. Sharia/sharia who gives a fk?
Keyboard yangu ina auto-correct kwa hiyo ukiandika neon sheria ina-detect na kubadilisha kuwa sharia kwa sababu ni neno maarufu. Wengi huelewa hili, sema naona teknolojia imekupitia kando. No wonder huzioni hizo data.
U gave the f.. ndio maana u bothered explaining ur self!
Kama hizo Data ziko public available then utakuwa umeziona ndio maana umesema zipo!Unaonaje ukatusaidia ukatupa figure ya mapato ya mwezi wa 5-6!?
 
tutaanza kutangaza tarehe 1 July watu wote wakiripia majumba, machinga wakipewa vitambulisho Heboo!!
 
Kaka mbona unakuwa ugomvi tena? Kulikoni
Ugomvi tena? Au hujaona swali lenyewe lilivyo?
Mkuu ni vizuri sana walivyokuwa wakitangaza mapato, lakini kutangaza mapato hakukuanza mwaka huu na magazeti yenye business sections za maana lazima kila mwisho wa mwezi watatangaza mapato ya serikali, watatangaza kukua kwa gdp kila baada ya miezi mitatu na watatangaza hali ya soko la hisa kila baada ya wiki.

Televisheni nazo zitatangaza soko la hisa na masoko ya hisa ya nchi jirani kila siku. Hii imezoeleka nchi nyingi tu. Juzijujuzi watu wametengeneza hela nzuri kwenye soko la Acacia na Breweries katika muda wa wiki tatu tu, na hii ni kutokana na kufuatiia information, siyo kuwa mtaalam.

Unasema wewe wa kijijini huwezi kupata informations hizo. Badala ya kutumia simu yako kwenda kwenye page za mange na kubeti, pitia page ya benki kuu au TRA kwa dakika tano kila mwisho wa mwezi, siyo kazi kubwa. Pia, tungehamasisha vyombo vyetu vya habari vitupe infos hizo badala ya kuzungumzia Ebitoke na Be Pol kila siku, au hamorapa.

Siyo kila kitu tutafuniwe, tujihimize na sisi.
 
Wanaona aibu maana yale makusanyo na malimbikizi yote hayapo tena
Na ubaya biashara zinabuma
 
Waendelee. Halafu unaposema watu waende kwenye hizo "websites" huwa unajali na wale walioko vijijini ambao hizo "websites" wala hawajui zinafananaje?
Magazeti, redio, TV na simu mitandao huwa wanaangalia nini?
 
Nadhani mwezi huu wanaweza soma, ngoja tusubiri. Nadhani ujumbe umefika.
 
Wengine mlisema bora wakae kimya hizo taarifa haziwasaidii chochote na wengine wakadai ni za kupika. Labda wamewasikiliza!!!!
....Mmh wenye nchi walusema hawapangiwi, watasikiliza kweli?
 
Back
Top Bottom