Weee! ThubutuKwani mkuu hatuwezi omba haya mapato, au ni siri tena kama ilivyo mikataba?
Wakitangaza ww unapata faida gani? Wameamua kuripoti kwa mwajiri wao na yeye akiamua kutangaza ni yeye. Kazi ya tra siyo kutangaza mapato bali ni kuassess kukusanya na kuwasilisha serikalini.Sasa kama ni hivyo si watangaze! Tatizo liko wapi
Sasa si waseme, tatizo ni nini? Au mpaka watumbuliweNadhani wameamua kufuata utaratibu wa mahesabu, kila baada ya miezi 3 yanatakiwa kusomwa mapato na matumizi, kama ilivyo kwenye serikali za mitaa
Benki kuu na TRA wanatangaza mapato kwenye website yao. Nendeni mkasome acheni uvivu.Ni lazima kwa kuwa fedha ni zetu ila wao wanazikusanya kwa niaba yetu. Kwa kuwa kila mtanzania hulipa kodi akiwa peke yake kwa ivo ni LAZIMA wanaozikusanya kutoa hesabu ya jumla ya fedha wanazozikusanya kwa kila mwezi!
Mimj nadhani unaweza kuyaomba lakini siyo tra bali hazina kwa maana nijuavyo mm ni kwamba tra iko chini ya hazina.Weee! Thubutu
Hivi hizi shule huwa mnasomea kwenye miembe? Kwani mbona mwanzoni walikuwa wanatangaza? Wewe ulipata faida ganiWakitangaza ww unapata faida gani? Wameamua kuripoti kwa mwajiri wao na yeye akiamua kutangaza ni yeye. Kazi ya tra siyo kutangaza mapato bali ni kuassess kukusanya na kuwasilisha serikalini.
Mwanzo wakati taarifa za kila mwezi zinasomwa.TRA walikuwa wanatoa hela kwa waandishi wa habari?tatizo press conference waandishi mnazitaka ili mpate pesa za kutoa habari,
kama unataka kujua mapato kawaulize makao makuu yao.?
Mbona mwanzoni tulikuwa tunatangaziwa, hizo website hazikuwepo?Benki kuu na TRA wanatangaza mapato kwenye website yao. Nendeni mkasome acheni uvivu
Kwa hiyo mwanzoni walikuwa hawafuati taratibu za ki mahesabu? Mbona mnakuja na majibu mepesi utafikiri hamkwenda shule!Nadhani wameamua kufuata utaratibu wa mahesabu, kila baada ya miezi 3 yanatakiwa kusomwa mapato na matumizi, kama ilivyo kwenye serikali za mitaa.
Kiki imebuma hii.tukubali utaratibu huu ulianzishwa kwa sifa.Kama walivyoanzisha bila kushauriana na yeyote na ndivyo wamesitisha bila kushirikiana na yeyote,huo utaratibu haupo kisheria kwa hiyo hatuna haki ya kuhoji
Wakati TRA wanatangaza walikuwa wanatumia sheria ipi?kasome sheria ya serikali za mitaa
Zilikuwepo, sasa kwanini media zisitangaze mpaka waitiwe press conference? Kwanini wasidakue data na kuandika magazetini?Mbona mwanzoni tulikuwa tunatangaziwa, hizo website hazikuwepo?
Hataree sana hiiToka tri hadi bilio?
Tunauliza kulikoni?Zilikuwepo, sasa kwanini media zisitangaze mpaka waitiwe press conference? Kwanini wasidakue data na kuandika magazetini?
Kwanini msilaumu media, mlaumu serikali?
Wewe umeona hapo tumelaumu au tunauliza?Zilikuwepo, sasa kwanini media zisitangaze mpaka waitiwe press conference? Kwanini wasidakue data na kuandika magazetini?
Kwanini msilaumu media, mlaumu serikali