Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Kupata mapato mazuri inatakiwa watu vichwa sana na si kutafuta kiki tuu katika media ukiona wanakula mzigo wa rambi rambi ujue chungu akina kitu...
 
kwani lazima?
Ni lazima kwa kuwa fedha ni zetu ila wao wanazikusanya kwa niaba yetu. Kwa kuwa kila mtanzania hulipa kodi akiwa peke yake kwa ivo ni LAZIMA wanaozikusanya kutoa hesabu ya jumla ya fedha wanazozikusanya kwa kila mwezi!
 
TRA wanatembelea rimu makusanyo yapo chini mno ndo maana ule mkakati wa kupunguza watumishi unaendelea ili kupunguza mzigo kwà gvt
 
Ni lazima kwa kuwa fedha ni zetu ila wao wanazikusanya kwa niaba yetu. Kwa kuwa kila mtanzania hulipa kodi akiwa peke yake kwa ivo ni LAZIMA wanaozikusanya kutoa hesabu ya jumla ya fedha wanazozikusanya kwa kila mwezi
Exactly. Lazima watusomee, wanaogopa mini?
 
Utaratibu wenu wa kutangaza mapato niliupenda sana, lakini ghafla mkaacha. Nini kiliwakuta ghafla mkasitisha? Wanamchi tuna hamu na hako ka utaratibu..! Rudisheni basi, au mtupe sababu ni nini?
Unatafuta kesi ya uchochezi bure .akili ya mtu yule anaijua mwenyewe .maana Mungu mwenyewe anatumia some control kwa binadamu na sio total control ,sasa Sijui binadamu anae jaribu total control kumsimamia binadamu mwenzake anapata wapi ujasiri huo .ni swala la muda tuu itaeleweka .
 
Kweli bora waendelezevkutoa ripot ya mapato
 
Watoke wapi hesabu wakati mtoto wa dada yake pale wizara ya fedha ndio anahodhi kila kitu wanatosha kwa sababu zote zinapelekwa chato
 
tatizo press conference waandishi mnazitaka ili mpate pesa za kutoa habari,
kama unataka kujua mapato kawaulize makao makuu yao.?
Kwa taarifa yako tangu mh rais aingie madarakani tra hawajawahi kukusanya chini ya 1trioni. Ni kuanzia trioni na kwenda juu.
 
Back
Top Bottom