Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Mbona mapato ya kila mwezi hatusomewi?

Mzee wa chatle kastuka, kagundua mnapiga hesabu za annual income collected then mnatoa na matumizi ya miradi iliyofanyika. Mwisho wa siku mtajua jinsi anavoiba
Kwani mkuu hatuwezi omba haya mapato, au ni siri tena kama ilivyo mikataba?
 
Kama mapato tu kusoma inakuwa siri, mikataba itawekwa hadharani kweli?
 
Kama mapato tu kusoma inakuwa siri, mikataba itawekwa hadharani kweli?
 
Ndio matatizo ya kumpa nchi mtu ambae alizoea kukariri chemical reactions na mayai ya samaki baharini...hajui hata strategy za kukuza uchumi...

ona sasa TRA hoi ....hamna hata wanachokusanya...

heri kikwete alifika 900b....
Jamaa wameshuka kwa speed ya jet
 
Back
Top Bottom