Mbona Kenyan forums Tanzanians?

Don YF

JF-Expert Member
May 24, 2014
5,680
2,000
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
 
thA bubs

JF-Expert Member
Apr 15, 2017
273
250
Tupatie free internet tuchangie kwenye vitu venye tunajuanga!

Punguza mihemko wa Masai ya Orgosmet!

sent by IPhone 6 using jamii forum app
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
....News and Current events segment, equivalent to this., interest ya wenji nimeona iko related na economy: business and various developments., check related forums kwao? hazina umarufu!
True, wako interested zaidi na mambo ya nje, and if it is about maendeleo in.other countries, esp in an African country, kazi ni kuponda.

Negativity seems to be the one thing driving up the traffic in these forum platforms.

Look at Kenya the Kenyan socisl media, when it is about....u know. Tz: it is all about Kenya vs Tz or Ccm.vs Chadema flamewars, in the US's reddit: racist and religious, sexist prejudices.....
 
KENPAULITE

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
2,195
2,000
They official trollers on kenyan matters,wenye wivu wajonyonge

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app
 
Sammuel999

JF-Expert Member
Jun 1, 2016
3,484
2,000
Juu ya inferiority complex
Juu mnajua wakenya ndio wanaweza

"KENYA FORUM" hapa JF ndio inaleta profit .....sisi sio LDC wakenya wakitoka JF most of you wont have a reason to log in; JF will die
 
toroka uje mjini

JF-Expert Member
Mar 29, 2017
1,580
2,000
They official trollers on kenyan matters,wenye wivu wajonyonge

Sent from my GT-N7000 using JamiiForums mobile app

Hio ilikua long time tz elimu ipo nyuma lkn kwa sasa kenya hamfikii tz kielimu kabxaaa
Kwanza tuna Internationa school kila mtaa
St.Merry
St.Agustine
St.Ally
St.Mwamedi
Yaaani nikianza kukutajia intrnatonal za tz ntajaza page tu humu
 
MAKANJAMNA

JF-Expert Member
Aug 8, 2013
1,142
2,000
Nafikiri mlisahau JF ni ya waTanzania, waKenya huku mmekaribishwa.

Acheni kulalamika, mkiona mnakuwa trolled mjue mpo dhaifu.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,524
2,000
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
Hakuna "Kenyan Forums" wacha kupotosha. Kuna East African Forums. Pia kuna "Kenyan news and politics" ndani ya East African Forums.

Isitoshe, huwa tunapenda sana kuwashushuwa manyang'au mnapokuja na uongo na majisifu ya kijinga.
 
ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,924
2,000
Nimepitia "News and current events" tanzanian forum, watz are very few! Thread inapita with, 0,1 or 2 comments! mingi sana hardly reaches 20 replies! maybe few. Lakini on Kenyan issues hapa muko kibao, macho na vidole!! why are u following with such interest? mko wengi hapa kushinda kenyans! kazi ni kuponda, kupinga na kujaribu kudunisha kenya., mbona? fact cant be changed with many words n winning a debate with selected facts to suit a bias, Tanzanians changieni mada kwa wingi kama munavyo fanya hapa on your forums!
wewe mwenyewe sio kenyan, umevamia tu na kuanzisha thread uonekane

though hii forum ni ya watz lazima tudominate

hii pia imeandkwa baada ya rooney kuja tanzania si kenya ndio mnahaha kutwa!
 
Iconoclastes

JF-Expert Member
May 26, 2014
4,104
2,000
Hio ilikua long time tz elimu ipo nyuma lkn kwa sasa kenya hamfikii tz kielimu kabxaaa
Kwanza tuna Internationa school kila mtaa
St.Merry
St.Agustine
St.Ally
St.Mwamedi
Yaaani nikianza kukutajia intrnatonal za tz ntajaza page tu humu
Wewe mbos iko sema kitu gani?
 
J-10

Member
Jul 9, 2017
20
45
Juu ya inferiority complex
Juu mnajua wakenya ndio wanaweza

"KENYA FORUM" hapa JF ndio inaleta profit .....sisi sio LDC wakenya wakitoka JF most of you wont have a reason to log in; JF will die
token kwani nani aliwalazimisha kufungua accounts
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom