Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,721
- 18,959
Siku zote nilikua nahisi utakua binti flani hivi mrembo sana anayejipenda, leo umenithibitishia,Uongo, mimi nina Rasta 6 yrs now mbona siyo chafu? Uchafu ni asili ya mtu hizo nywele zinakufaje??🙄
Mdada akiwa na rasta za asili anakua mrembo sana