Mbona hujaniweka kwenye screen saver?

Mbona hujaniweka kwenye screen saver?

Vaislay

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
4,532
Reaction score
1,841
Kwa wale wenye kudhani kuwekwa kuuza sura kwenye maprofile picture, screen saver, ndo kupendwa au uko peke yako unajidanganya...af isitoshe ni utoto mtupu..

 

Attachments

  • 1476473_568478109894926_2011336876_n.jpg
    1476473_568478109894926_2011336876_n.jpg
    70.1 KB · Views: 603
Natumai wale wenye akili za kushikiwa na wale wenye kuishi maisha ya njozi na ya kufikirika watakuwa wameona na kusikia.
 
Hhe he he he
Raha jipe mwenyewe, kama inampa mtu raha kumweka 'zombie' wake kwenye skrin seva au profile inahu?

Mapenzi hayanaga formula.
 
akimuweka si ndo anautangazia ulimwengu kuwa huyo ni wake? acha wawekane jamani..mie ntaendelea kuweka biashara zangu ili.wengi waone..soon ntaweka mpaka kwenye vatar teh teh
 
Aaaah... Si unamzuga tu kumuweka prof picture kumbe hata moyoni hayumo yuko kwenye utumbo mpana anaelekea kuleeee kunako maozea....
 
akifanya sinema hiyo ni juu yake...as long as he shows ananipenda kwa matendo kabisa..mie sina tatzo...have a faith in love...
Siku hz cnema nying sana matendo yenyewe haya.
 
Hahhhahhha ni utoto kweli japo akikuweka hata kwenye profile ya whatsapp bila kumuambia ukajionapo pale weeeeee unaweza jiona we malkia Elizabeth
 
Back
Top Bottom