ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
Mbona wengine asipoletewa kiua tu full kununa hatusemi! kila mtu anatafsiri yake ya Upendo"........kila mtu atende kama alivyokusudia moyoni mwake"
Hahhhahhha ni utoto kweli japo akikuweka hata kwenye profile ya whatsapp bila kumuambia ukajionapo pale weeeeee unaweza jiona we malkia Elizabeth
akifanya sinema hiyo ni juu yake...as long as he shows ananipenda kwa matendo kabisa..mie sina tatzo...have a faith in love...
Dats gud...lkn naww uwe unamuweka sio inakuwa upande mmoja tu
Wengine wanalazimisha na kuweka wenyewe, kisa hasa? akiamua kukucheat anacheat tu. Tena wanawake wengine makauzu siku hizi hawajali uliowekwa kwa profile, wanaona kama pambo tu. Ndio ile we unalinda bahari upande wa ferry wenzako wako upande wa bagamoyo kwa raha zao.
hehehe mi nataka aniweke dp nk mana huko moyoni anaona naniiiiii....buh dp,scrinisaver yaonekana...yn me usponiweka on ur dp lazma nikutilie shaka unaficha niniiii,from whoKwa wale wenye kudhani kuwekwa kuuza sura kwenye maprofile picture, screen saver, ndo kupendwa au uko peke yako unajidanganya...af isitoshe ni utoto mtupu..
unaweza ukawekwa na ukaibiwa vile vile...mana kitendo cha kukuweka pale kuna washindani wenzio wataibuka na kuwekwa wao ...bora ujiweke mwnyw kwakohehehe mi nataka aniweke dp nk mana huko moyoni anaona naniiiiii....buh dp,scrinisaver yaonekana...yn me usponiweka on ur dp lazma nikutilie shaka unaficha niniiii,from who
Kongosho hujanielewa love si mimi, kwanza niko single, so sina presha na yeyote.
Nimesemea kama wewe ulivyosema, kuna wanaodhani mwanaume akiweka pic profile itapunguza msongamano. Ndio nikasema akitaka kucheat anacheat tu, mawazo yetu yako sawa labda hukunielewa tu.
CC Kongosho
Hahahahaha...ww umemuweka?
Screen saver zangu zote ni picha za magari, usisubiri nikuweke hapo kwasababu huna nafasi
but atlst hivo kulikoni moyoni usikoonekana na bado ikaibiwaaunaweza ukawekwa na ukaibiwa vile vile...mana kitendo cha kukuweka pale kuna washindani wenzio wataibuka na kuwekwa wao ...bora ujiweke mwnyw kwako