Mbona hujaniweka kwenye screen saver?

Mbona hujaniweka kwenye screen saver?

but atlst hivo kulikoni moyoni usikoonekana na bado ikaibiwaa
kwenye moyo unakuwa wewe ndo kila kitu kuliko ya saver, Omba uwe moyoni si saver af moyoni awekwe mwenzio
 
Hahhhahhhha hayo magari yanakupa nini hasa cha mno

ni sawa na kumuweka beyonce akiwa nusu uchi wakati nina mpenzi wangu nyumbani

kifupi ni kwamba, kuwekana screen saver ni ushamba kwasababu sio key factor determining the real love kwa mtu
 
kilichomjaa mtu moyoni ndo kinachomtoka mdomon. Kama nimekujaa moyoni basi kwa profile na scree servers pia lols
 
Kwa wale wenye kudhani kuwekwa kuuza sura kwenye maprofile picture, screen saver, ndo kupendwa au uko peke yako unajidanganya...af isitoshe ni utoto mtupu..


Hayo utakumbana nayo sana uki date hawa wenye umri below 25yrs
 
Back
Top Bottom