Mbona hii ni habari njema! !

Mbona hii ni habari njema! !

Mada ngumu hii sijaelewa kitu
Niende chimbo nikale ganja ntairudia!
 
Dogo unajua umeanza kutuma miziki yako tena huachi tu😆 nyimbo nzuri nimeipenda☺️
Last born, lazima nikudekee .. njoo unilishe 🙈🙈
PXL_20260204_165331857.PORTRAIT.jpg
 
Kwahiyo wewe unatakaje? Kijana akiota vuzi tu na miaka 11 aoe? Na binti akiona mwezi wake wa kwanza tu achumbiwe?

Hakuna elimu, hakuna mipango, wazaliane tu wakalime na kufuga huko porini sio?
Hiyo mipango angewaza kabla hajaenda kuleta mtoto.

Ameyavulia maji nguo, ni muda wa kuoga.

Na hiyo ni moja ya sifa ya MWANAMUME: Uwajibikaji! You do what you gotta do! You mess up you fix it.

You gerrit kid? (you could be 40+, the name fits)
 
Back
Top Bottom