Mbona hii ni habari njema! !

Mbona hii ni habari njema! !

Registered_jf

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2024
Posts
920
Reaction score
1,454
Ni nani aliita polisi? ? Nimesikitika sana!
1000031105.jpg

Kwa hali zilivyo karne hii ya 21, Nikipata habari kuwa kijana wangu wa miaka 13 ametia mimba mwanamke wa miaka 33:

Nitamuita nimuulize hizi habari ni kweli au si kweli? Swali ni rahisi sihitaji maelezo.

Akisema ni kweli, namuambia haya nenda chumbani, nakupa masaa mawili uniandikie kurasa moja tu: jinsi utamtunza huyo kiumbe uliyeleta duniani.

Hapo atakuwa amenipa muda wa kutosha kuagiza kreti la bia na kuagiza nyama choma.

(IMAGE REMOVED)

Akirudi kuniletea karatasi nitaweka sura ya kazi na kuisoma:

(IMAGE REMOVED)

Baada ya kuisoma I don't care what is on that paper mradi ni mpango nomatter how stupid it is, nitamuambia haya kula nyama hiyo mimi hata hamu ya kula imeisha! ! !

Wakati anakula nitajifanya nina mawazo naangalia huko juu. Nitakuwa nikizishukuru mbingu. Nitaabudu na kusifu!

Akimaliza namuambia haya kapaki mabegi hapa si kwako tena.

Namuita mdogo wangu namuambie aje chap, maana kila jambo ili lithibitshwe linahitaji mashahidi wawili hadi watatu.

Tutaenda kumpeleka huko:

WOMAN, THY HUSBAND.
MAN, THY WIFE.

(IMAGE REMOVED)

Tutamuacha hapo na kurudi kumalizia sherehe:

(IMAGE REMOVED)
 
Imenikumbusha movie ya THAT'S MY BOY, ni comedy lakini ina funzo kubwa,
Huyo mtu mzima kisheti aswekwe jela hata miaka miwili akili imkae sawa na hako kababa mimba kapatiwe therapist haraka kabla hajaharibika zaidi.
 
BTW hiyo rape nime assume ni statutory rape: kwamba yuko chini ya 18yrs basi ni rape. Not that he was forced.
 
Juzi juzi hapa nimeishi na my cousin ana 13years.

Kwanza kanizidi urefu.

Pili Baba yake asipokuwepo yeye ndo anaongoza sala na ana cheo huko church. Inshort anaheshimiwa kama mwanaume yani.

Ni kweli hajakomaa kiakili, but nakataa kumuita mtoto. Ana akili kabisa, tena alianza kunisema kwanini nachelewa kurudi nyumbani.

I admired him.

Hii generation ya watoto wasiokua sisi wengine tunaikataa. Eti therapy kwa dume kuweka mimba seriously, this wicked generation.

Mama kijacho aachiwe jela akalee mumewe.
 
Cougar spotted.
 
Unataka kijana wako awe baba akiwa 13?
I want him to fulfil his God given duties:

The Image of LORD ALMIGHTY himself!
Man of strength and honor!
Bold as a lion!
Fearless in battle!
Defender of his household!
A pillar among men!
Chosen and anointed!

This is not a man who goes to therapy coz he got a woman pregnant!

Stop Weakening, Demasculinizing, Emasculating our boys.
 
Tofautisha kati ya mvulana na mwanaume mkuu.
 
Unakosea mkuu, mitazamo ya kizamani inakuandama. Maisha ya shogun ni ya karne ya 17. Tumeshatoka huko.
Wewe mwenyewe ushetani uliojivika nguo ya utandawazi umekuandama...

Wale ndo wanaume! Hadi raha unazaa zako dume la mbegu, mighty warrior, strong in mind and body.

sio hawa wanaenda therapy kisa wametia mtu mimba hii sio hata evolution ni devolution.
 
Kwahiyo wewe unatakaje? Kijana akiota vuzi tu na miaka 11 aoe? Na binti akiona mwezi wake wa kwanza tu achumbiwe?

Hakuna elimu, hakuna mipango, wazaliane tu wakalime na kufuga huko porini sio?
 
Back
Top Bottom