Baija Bolobi
JF-Expert Member
- Feb 25, 2009
- 1,093
- 1,737
Juzi mkulu aliwaalika wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu. Walionekana Ikulu na idhini yake hata picha za ndani zikaonekana.
Kama nakumbuka sawasawa Mzee Kitine aliwahi kuwa mkuu wa kitengo chetu pale Eagle house. Sikumwona kwenye picha. Najua wana Eagle mmo humu. Tujuze yuko wapi na kwa nini hakuhudhuria?