Dogo amejitahidi...tatizo hiyo D ya physics mtihani kwa sasa....sasa dogo ntamwambia akibisha shauli yake
Halafu madogo wa sasa wanapasua Sana Mkuu...
Siku hizi kukuta PCB AAA ama AAB ama ABB ama BBB ni kawaida Sana na ni nyingi mno kuliko kipindi cha nyuma....
😂😂😂Sasa na google zote hizi na youtube lecture kwa nini madogo wasipasue..
Siku hizi practical unaweza ukajifunzia youtube tu na ukawa nondo balaaa
Elimu ya sasa hivi ni kutuliza Kichwa tu...UNATOBOAAA!!
It seems ushindani ulikuwa mkubwa... siku hizi PCB wanafaulu kama HKL.... hivyo kwa pass hizo si rahsi kushindananiliona kwa mdogo wangu kakosa kila chuo na wakati anaomba md ana DCB kwa comb ya PCB. Yaani hadi St fransis na kcmc wamemkataaa sasa huu niuite au?
dogo mbishi sana nilivyomshauri nikaonekana Mimi sio mpenda maendeleo yake sasa kakosa chuo sijui atafanyaje. Hawa vijana wanabishana sana ukiwaambia kitu kuhusu M.D. wanakusonya tuHalafu waache kukalili pcb lazima asome MD. Kuna kozi nyingi tu ambazo ni nzuri anaweza kusoma.
Kozi za Engineering zipo nyingi na vyuo vipo vingi ndo mana kwa mtu wa PCM mwenye ufaulu kama wa huyo Dogo hawezi kukosa ! MD na kozi zingine za Afya, vyuo vichache na wanaohitajika wachache!.Hiyo kozi keki kweli yaan balaaa sijui kwann wakati kozi za engeneer watu wanapeta tu
Watoto wa sasa ivi wanaandaliwa vizuri sana na wanakula chakula cha kufanya ubongo ufanye KAZI vizuriHalafu madogo wa sasa wanapasua Sana Mkuu...
Siku hizi kukuta PCB AAA ama AAB ama ABB ama BBB ni kawaida Sana na ni nyingi mno kuliko kipindi cha nyuma....
Mkuu pia unawasemea watoto wa huku kwetu USWAZI...?!!Watoto wa sasa ivi wanaandaliwa vizuri sana na wanakula chakula cha kufanya ubongo ufanye KAZI vizuri
Ha ha ha kitu usichokuwa nacho ni lulu kweli...dogo mbishi sana nilivyomshauri nikaonekana Mimi sio mpenda maendeleo yake sasa kakosa chuo sijui atafanyaje. Hawa vijana wanabishana sana ukiwaambia kitu kuhusu M.D. wanakusonya tu
Jumbe Brown nimekupa tano lakini wewe ni mzinguaji. Wewe unajifananisha na wa vijijini, ambao maji ya kunywa ni ishu ndugu yangu. Kwanza apo tandale kuna soko kubwa la nafaka, unamzidi hata wa masaki kwa chakula na bei nafuuu. Chakula kinachukua nafasi kubwa sana ktk ufaulu wa mtoto yoyote vile. Uwezi ukawa una knowledge nzuri ya chakula utegemeee kizazi kijacho kiwe na Akili. Tumia Google. Tafuta vyakula vinavyosaidia kuongeza akili na uwe unamlisha mtoto wako kila siku, utakuja kutoa matoke chanya apa kwa Jamiii forumHa ha ha kitu usichokuwa nacho ni lulu kweli...
Wenzake tumesoma hiyo KOZI na kugraduate lakini inafikia kipindi tunakua tunasahau hata Kama tulikwenda Medical School....
Life is broad and offers EXQUISITE PRECIOUS chances than a SINGLE SELF NEED.....
Mwambie dogo Kama anapenda sana hiyo KOZI basi Mungu atamsaidia aaamin..akubali kusacrifice na KURISK kuomba tena udahili next year na akubali machungu atakayopitia...
Laa,basi angesoma FIELD RELATED to medicine....
Laa,akubali atafute pesa na PINDIPO atakapozipata ajaribu KUAPPLY vyuo vya nje kama UKRAINE na RUSSIA....
Usimkaripie kwani ni mdogo na hayajui MAISHA....
Best wishes kwake,aaamin.
Kijana Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole