Kamelengo
Senior Member
- Nov 1, 2020
- 146
- 374
Kimsingi safari hii kupata md imekuwa ni changamoto sana, sababu ya ushndani uliopo na vigezo kupunguzwa tofaut na zaman,, ukiwa na mtu mwenye ufaulu kama huo mkalishe chini mpe a, b, c.. kuna koz ziko kwenye market e. g radiology kama anataka kuitwa dokta anaweza kusoma DDS ila vijana hawajiongez, mtu anakarr md tu, sasa hapo acha akae mwaka mzima asubri hyo md mwakan akikosa tena atapagawa na akili itamkaa vzur ataenda hata kusoma beekeeping