Mbona course ya M.D. haipatikaniki kwa hata vyuo kama ST Fransis nini tatizo?

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
3,931
2,000
Man...

Tanzania inataka iwe na standards za CUBA....

Inataka izalishe madaktari COMPETENT tuanze kuwapeleka wakafanye kazi nje(baadhi yao) km wanavyofanya marafiki zetu CUBA....
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
4,706
2,000
Halafu madogo wa sasa wanapasua Sana Mkuu...

Siku hizi kukuta PCB AAA ama AAB ama ABB ama BBB ni kawaida Sana na ni nyingi mno kuliko kipindi cha nyuma....

Sasa na google zote hizi na youtube lecture kwa nini madogo wasipasue..

Siku hizi practical unaweza ukajifunzia youtube tu na ukawa nondo balaaa
 

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
27,067
2,000
niliona kwa mdogo wangu kakosa kila chuo na wakati anaomba md ana DCB kwa comb ya PCB. Yaani hadi St fransis na kcmc wamemkataaa sasa huu niuite au?
It seems ushindani ulikuwa mkubwa... siku hizi PCB wanafaulu kama HKL.... hivyo kwa pass hizo si rahsi kushindana
 

Darmian

JF-Expert Member
Oct 1, 2017
11,223
2,000
Hayo ni matokeo ya kawaida sana kwa sasa PCB nowdays..wenye ufaulu huo wengine wameenda kusoma nursing

Watu inabidi wajue ufaulu umeongezeka sana na wanafunzi wa PCB ni wengi sana nowdays
 

Isayalussy11

JF-Expert Member
Mar 8, 2019
580
1,000
Ndugu ufaulu wa DCB! Usome MD Acha utani kabisa! Huyo vigezo anavyo kwa maan ya cut off point 8! Ila Kulingana na capacity ya Wanafunzi wa MD ambayo chuo husika kinataka,Si rahisi kwa mwenye ufaulu huo kupata kutokana na ushindani uliopo!
 

Jesusfreak08

JF-Expert Member
Jul 20, 2019
718
1,000
Wanafunzi wote kama sio wengi wanaosoma PCB huwaza udaktari kwanza na wanaamini kama akisoma PCB atakuwa daktari lakini hicho ni kitu ambacho sio kweli 100%

Na hii kutokana na pressure au kuamini kuwa utapata kazi kirahisi au kupata status kitaa watu wakuone wewe ni daktari

Lakini niwaambie tu kuwa kusoma PCB na ukawa daktari na udaktari haupo ndani yako ni sawa na Ujinga
kwasababu
utawatukana wagonjwa, utawasema wagonjwa ,utawadharirisha wagonjwa ,utawadharau wagonjwa hutakuwa na upendo wa kweli na wagonjwa.

Kwa huyo kijana wako udaktari kupata sio rahisi sababu ya ushindani
Ukitaka Kusoma udaktari lazima uwe na (AAA,AAB,ABB,BBB,) Hii kwa muhas BBC,ABC,CCB kwa vyuo vingine .

Lakini zipo kozi nzuri tu akasome
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
3,931
2,000
Watoto wa sasa ivi wanaandaliwa vizuri sana na wanakula chakula cha kufanya ubongo ufanye KAZI vizuri
Mkuu pia unawasemea watoto wa huku kwetu USWAZI...?!!

Kwani wako wanaopata hizo AAA tena shule zetu za serikali....

Je unasemaje kuhusu wale waliokuwa wanapasua kwa grades hzo KIPINDI Cha nyuma?!!
 

Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
3,931
2,000
dogo mbishi sana nilivyomshauri nikaonekana Mimi sio mpenda maendeleo yake sasa kakosa chuo sijui atafanyaje. Hawa vijana wanabishana sana ukiwaambia kitu kuhusu M.D. wanakusonya tu
Ha ha ha kitu usichokuwa nacho ni lulu kweli...
Wenzake tumesoma hiyo KOZI na kugraduate lakini inafikia kipindi tunakua tunasahau hata Kama tulikwenda Medical School....😂😂

Life is broad and offers EXQUISITE PRECIOUS chances than a SINGLE SELF NEED.....

Mwambie dogo Kama anapenda sana hiyo KOZI basi Mungu atamsaidia aaamin..akubali kusacrifice na KURISK kuomba tena udahili next year na akubali machungu atakayopitia...

Laa,basi angesoma FIELD RELATED to medicine....

Laa,akubali atafute pesa na PINDIPO atakapozipata ajaribu KUAPPLY vyuo vya nje kama UKRAINE na RUSSIA....

Usimkaripie kwani ni mdogo na hayajui MAISHA....

Best wishes kwake,aaamin.


Kijana Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole
 

Come27

JF-Expert Member
Dec 1, 2012
5,897
2,000
Ha ha ha kitu usichokuwa nacho ni lulu kweli...
Wenzake tumesoma hiyo KOZI na kugraduate lakini inafikia kipindi tunakua tunasahau hata Kama tulikwenda Medical School....

Life is broad and offers EXQUISITE PRECIOUS chances than a SINGLE SELF NEED.....

Mwambie dogo Kama anapenda sana hiyo KOZI basi Mungu atamsaidia aaamin..akubali kusacrifice na KURISK kuomba tena udahili next year na akubali machungu atakayopitia...

Laa,basi angesoma FIELD RELATED to medicine....

Laa,akubali atafute pesa na PINDIPO atakapozipata ajaribu KUAPPLY vyuo vya nje kama UKRAINE na RUSSIA....

Usimkaripie kwani ni mdogo na hayajui MAISHA....

Best wishes kwake,aaamin.


Kijana Muuza Al Kasus
Tandale Kwa Mtogole
Jumbe Brown nimekupa tano lakini wewe ni mzinguaji. Wewe unajifananisha na wa vijijini, ambao maji ya kunywa ni ishu ndugu yangu. Kwanza apo tandale kuna soko kubwa la nafaka, unamzidi hata wa masaki kwa chakula na bei nafuuu. Chakula kinachukua nafasi kubwa sana ktk ufaulu wa mtoto yoyote vile. Uwezi ukawa una knowledge nzuri ya chakula utegemeee kizazi kijacho kiwe na Akili. Tumia Google. Tafuta vyakula vinavyosaidia kuongeza akili na uwe unamlisha mtoto wako kila siku, utakuja kutoa matoke chanya apa kwa Jamiii forum
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom