Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 713
- 1,181
Hivi nyie MUHAS mnapachukuliaje...yaani hutakiwi kupawaza kabisaa...wewe omba vyuo vingine...mi nashangaa watu mnaopapenda muhas wakati uwezo wa kupata ni mdogoKwa mtu ambaye kapata G.P.A YA 4.0 c.linical medicine anaweza kucjaguliwa MUHAS M.D ?