Stacker
JF-Expert Member
- Jul 19, 2020
- 1,132
- 2,207
Utatekeleza au unajibu tu kunifurahisha ? Maana vijana nawajua nyieDahh sawa! Asante kwa elimu na maelekezo..
Utatekeleza au unajibu tu kunifurahisha ? Maana vijana nawajua nyieDahh sawa! Asante kwa elimu na maelekezo..
Sasa nisijibu jamani!Utatekeleza au unajibu tu kunifurahisha ? Maana vijana nawajua nyie
Nitakufuatilia kama umefanya hivyoSasa nisijibu jamani!
Sema kaka bwana ,basi usiwaze limeisha hilo kwakuwa ni mdau nitakulinda pia juu ya manjegeka ya wana wasumbufu wale akina katambiAm serious sana mkwee😎
Mambo ni mepesi sana😀😀Safi sana mkuu, mimi huwa natembelea parokia mbalimbali kujifunza kilimo na ufugaji , hii kitu naipenda mno , na ina mambo mengi ya kushangaza na kufurahisha mno
Au sio?Nitakufuatilia kama umefanya hivyo
Hayo ninayamudu kwanza najifichaa balaa kakaake🌝Sema kaka bwana ,basi usiwaze limeisha hilo kwakuwa ni mdau nitakulinda pia juu ya manjegeka ya wana wasumbufu wale akina katambi
Kwa nini isiwe? , vijana mnapenda biashara za frem na kuchuuza ,kilimo na ufugaji wengi mnatorokaAu sio?
Unashangaa mtu anasema hana hela ya kula ,chakula chenyewe ni chips yai , kitu ambacho anaweza fuga kuku na kuokota mayai ya kutosha , ugali wake anagonga mayai na mchicha anachemsha kidogo anakula fasta tuMambo ni mepesi sana😀😀
Hatuwezi ndio maana utakurupukia jambo hulijui!Kwa nini isiwe? , vijana mnapenda biashara za frem na kuchuuza ,kilimo na ufugaji wengi mnatoroka
Maarifa..maarifa...Unashangaa mtu anasema hana hela ya kula ,chakula chenyewe ni chips yai , kitu ambacho anaweza fuga kuku na kuokota mayai ya kutosha , ugali wake anagonga mayai na mchicha anachemsha kidogo anakula fasta tu
Hapana kaka sidhani ikiwa wewe unanijua nambie ila kama ni boss wangu najua mengi ninayozungumza watu wa kada yangu hasa upande wa pili mmshanidaka ,uniwie radhi tu mkuu wangu ni katika kurefresh tu siko hapa kumaanisha uhalisia wowote .Mi ni jobless mkuu😁
Hasa kama hiyo maiti iliyozikwa ni ya MwanamkeTamu sana hizo mboga za makaburini
Kuwa na amani mkuu😄Hapana kaka sidhani ikiwa wewe unanijua nambie ila kama ni boss wangu najua mengi ninayozungumza watu wa kada yangu hasa upande wa pili mmshanidaka ,uniwie radhi tu mkuu wangu ni katika kurefresh tu siko hapa kumaanisha uhalisia wowote .
Unaniohopesha bwana ,mpaka usiku wa manane niwapo kazini nik8sema nikomenti kidogo hapa lazima ulike tu .
Naogopa nisije nikanyea kambi bwana ,mimi bado mdogo na pia nimeachwa sina mpenzi hivyo bado najitafuta mwenzio
Mimi kuishi mjini hapana kabisa , mimi mambo yangu ni kushika shika udongo na mavi ya wanyama, ndio nasikia raha kabisaMaarifa..maarifa...
1.Nimekuta familia inafuga toka 90s
Wajukuu wakienda kwa Babu na Bibi wanakimbiza kuku kama hawana akili nzuri😀😀😀
2.Kuna sibl wangu anafuga Mifugo ya nyama kubwa kubwa...huko utachoma nyama mpaka ukimbie hasa Mbuzi(Karagwe huko)
3.Kuna moja yeye bingwa na Kanga +Turkey..kama kazaliwa nao..kwake unakimbizana nao..
So maisha ni maamuzi..tulifunzwa kutafuta viwanja pembezoni mwa mji.
Kuna maisha ukisafiri nje na kwako naona kama mateso makali sana kununua nunua vitu😀😀😀
Inawezekana kabisa , tena ukifuga na kulima bustani unapunguza gharama sana , hizo pesa zinafanya kazi nyingine za muhimu.Hatuwezi ndio maana utakurupukia jambo hulijui!