Mboga za makaburini

Mboga za makaburini

Unapo kaa ndio kwako , unapokaa ukipatumia vizuri panakuokolea pesa nyingi sana , ukingia youtube unajifunza njia nyingi sana za kurahisisha maisha kwa kujifunza njia za kuzalisha mboga , samaki na nk kwenye eneo dogo.
Tulipanga pahala for 2 years hatukujua kununua mboga mboga,nyanya,vitunguu..mwendo wa kubadili tu😀😀😀
 
Nilipewa mbegu za mboga ya majani na babu fulani nikapnda kwangu kwenye fence ,sasa kila zinavyokuwa naona kabisa hii ni bangi ,nikamfuata mzee kumuuliza hizi mboga ulinipa ni mboga gani akasema ni SUNGWI mh .

Nikajipa muda walau ziongezeke ,juma lililopiita naziangalia ni bangi kabisa ikabidi nichume kidogo nianike nione je zitakuwa kama bangi kavu .?

Jana rasmi nimehitimisha ni bangi kweli baada ya kujaribu kuwasha moto hivyo niseme kuwa kilimo ni kigumu sana nyumbani bora kununua tu maana unaweza kulima nyumbani na ukajikuta umeingia mgogoro na serikali bila kujua .

Nb:siuzi na wala asinifuate yeyote sababu mimi nina uchunguzi naufanya hivyo hata serikali isije najaribu kutaka kuona kweli nitakuwa kichaa au hapana
Dahh umejiwahi sana kakaake, wakati nataka kukuomba mbegu nipande kwangu nione itakuwaje baada ya miezi kadhaa🫠
 
Tulipanga pahala for 2 years hatukujua kununua mboga mboga,nyanya,vitunguu..mwendo wa kubadili tu😀😀😀
Safi sana mkuu, niliwapa elimu ya ufugaji na kilimo vijana wakadai ni kazi za wastaafu kwangu hata majiko ya gesi natumia mbolea ya mboji , matumizi ya umeme yanakua madogo mno
 
Sasa binadamu ameoza, samadi ya binadamu ikioza ina kemikali gani?
Hapa hatuongelei biolojia ya asili ya kuoza, tunazungumzia sumu za kitabibu (chemicals) na metali kutoka kwenye maziko zinazoingia kwenye udongo. Kama unataka kufananisha maiti za watu na samadi ya ng'ombe ili mradi tu ule, shauli yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom