Mboga za makaburini

Mboga za makaburini

Safi sana mkuu, niliwapa elimu ya ufugaji na kilimo vijana wakadai ni kazi za wastaafu kwangu hata majiko ya gesi natumia mbolea ya mboji , matumizi ya umeme yanakua madogo mno
Kwenye mboga na nyama za kuku nimesahahu kabisa..hapo kwenye gesi Mkuu ..tuwe hai nitakutafuta muda ukifika.

Ukiwa na mji kuishi kwa ugumu ni kupenda na kutokukubali maarifa.

Tulifuga kuku wa kwetu aisee kuku ana taste moja murua sana😀😀😀
 
Viazi, mihogo, na miwa ya kwenye makaburi ni imekubwa na imetulia sana. Mboga za kijani kama kisamvu, matembele, chinese, na yale majani ya maboga sijui wanaitaje huwa ni full kijani na afya tele.

Funga kazi ni mbogamboga kando ya mabwawa ya mavi mijini.

Karibuni Dodoma hayo mambo hayapo huku.
 
Unitumie demo na pesa kiasi nianze baada ya eid kubwa!
Nitakutumia mbegu na elimu , mifuko unaweza tembelea hardware au viwanda vya kufyatua tofali unapata mifuko ya cement mitupu hata 2000 bure kabisa , mbolea unaweza watembelea wale wafugaji wa kuku , unapata kwa bei nafuu debe za kutosha.
 
image_search_1779347847926.gif
 
Kwenye mboga na nyama za kuku nimesahahu kabisa..hapo kwenye gesi Mkuu ..tuwe hai nitakutafuta muda ukifika.

Ukiwa na mji kuishi kwa ugumu ni kupenda na kutokukubali maarifa.

Tulifuga kuku wa kwetu aisee kuku ana taste moja murua sana😀😀😀
Safi sana mkuu, mimi huwa natembelea parokia mbalimbali kujifunza kilimo na ufugaji , hii kitu naipenda mno , na ina mambo mengi ya kushangaza na kufurahisha mno
 
Nitakutumia mbegu na elimu , mifuko unaweza tembelea hardware au viwanda vya kufyatua tofali unapata mifuko ya cement mitupu hata 2000 bure kabisa , mbolea unaweza watembelea wale wafugaji wa kuku , unapata kwa bei nafuu debe za kutosha.
Dahh sawa! Asante kwa elimu na maelekezo..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom