Pia mboga nyingine, zinapigwa dawa Leo.... kesho jion zinapekwa sokoni...hii ni athari kwa afya, inashauriwa baada ya kupiga dawa walau ukae siku 7plus... mfanyabiashara hana muda huo, yeye anataka pesa

Kawaida tu binadamu ni mavumbi acha uoga kijana....hata hiyo mifuko ya saruji ina chemical,hata maji utayomwagilia wanayatreat na water guard ni chemical pia,
Mungu atusaidie! Tunakula vingi tusivyovijua.
Kwa muda wote huo uliokula hizo mboga na hujapata madhara shukuru tu!
Hata hivyo sina hakika kama mboga za majani zina mizizi mirefu kufikia urefu wa makaburi ambapo maiti zimezikwa.
Kuwa na Amani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.