Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 18,551
- 53,882
Duhh mbona kibarua! Nianze kufocus tena na kilimo mara hii tuš¤Unapo kaa ndio kwako , unapokaa ukipatumia vizuri panakuokolea pesa nyingi sana , ukingia youtube unajifunza njia nyingi sana za kurahisisha maisha kwa kujifunza njia za kuzalisha mboga , samaki na nk kwenye eneo dogo.


