Tabu hawa jamaa wa ccm wanachezesha maigizo yao kulaghai wa tz na wanaona watanzania wote ni vilaza na malofa tu.Mmiliki mmojawapo ni JK mbona hamjamkamata?
naona anasupply mpaka mihuriJiongeze wewe. Acha kukurupuka ovyoo. Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Kumkamata supplier akiwa na materials anayopaswa kusupply ni upumbavu.
ukimkamata jk sizani kama lowasa utamuachaTabu hawa jamaa wa ccm wanachezesha maigizo yao kulaghai wa tz na wanaona watanzania wote ni vilaza na malofa tu.
Kwahiyo mkataba halali ni wakufanikisha uharifu hivyo kitu kikifanyika kwa kupitia mikataba hakiwezi kikawa cha uharifu akili zako ni zakusikitikiwa sana wazungu waliingia mikataba Africa na mababu zetu wakatutawala mbona tulidai Uhuru kwa kutumia njia zote vita NK elewa mkataba si juu ya haki hao unaodai tuliingia nao mikataba labda wewe uliingianao mikataba. hivyo walio ingia mkataba ni waarifu piaHatukatai kuwa sio wahalifu lakini si wanafanya hayo kwa mikataba halali? Wahalifu haswa ni walio saini na kuipitisha mikataba hiyo anzeni kuwashughulikia hao, mkiweza hapo watanzania tutawaelewa sio kutuletea maigizo ya kimakinikia na visasi visivyo na tija kwa taifa.
We jamaa hujanielewa! ulicho andika kinaonyesha baadhi yenu mnavyopenda inferiority yani unalinganisha mababu zetu wa miaka iyo kuwajustify hawa wezi wasomi wengine waliosomeshwa bure kwa fedha za serikali ili makosa yaliotendwa na Babu zetu yasijirudie, kwani nao walikuwa hawajui kusoma na kuandika? IPTL niya watz ingekuwa wazungu mngesingizia wametuzidi usmart! acheni maigizo ya double standards kamateni nawalio pitisha na kusaini mikataba iyo wewe unayoiita ya kihalifuKwahiyo mkataba halali ni wakufanikisha uharifu hivyo kitu kikifanyika kwa kupitia mikataba hakiwezi kikawa cha uharifu akili zako ni zakusikitikiwa sana wazungu waliingia mikataba Africa na mababu zetu wakatutawala mbona tulidai Uhuru kwa kutumia njia zote vita NK elewa mkataba si juu ya haki hao unaodai tuliingia nao mikataba labda wewe uliingianao mikataba. hivyo walio ingia mkataba ni waarifu pia
basi kama unakiri kua wewe huna akili timamu maana yake wewe utakua punguani ambavyo bora hata ungekua mjinga ungeelimishwa ila kwa vile wewe ni punguani hakuna namna ya kukusaidia pole sana mkuu
KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Mbona hujaongea lolote la maana umeongea kama mtoto wa chekecheaSerikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Jiongeze wewe. Acha kukurupuka ovyoo. Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Kumkamata supplier akiwa na materials anayopaswa kusupply ni upumbavu.
Aksante sana mkuu kwa pole yako. Naona ulinipa pole ili nami nikupe pole kwa kuwa punguani mkuu ni weye unayeweza kumjibu punguani kipunguani. Naona tumeelewana vizuri atii. Punguwani wahed!
Watu wamekuwa na ushabiki wa kijinga kijingaKWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
sawa punguani punda punga unaefikiria kwa kutumia hisia za makalioni kwako na sio kichwa chako kilichojaa kamasi badala ya ubongo
Ila nlikuwa nakuona una akili kumbe sifuri kabisa. Ngoja nikuripoti kwa mange akunyooshe pumbavuNaona umeajiriwa na Manji ili kumsafisha! Hasafishiki dada!!
Mange ndo wakili wako??Ila nlikuwa nakuona una akili kumbe sifuri kabisa. Ngoja nikuripoti kwa mange akunyooshe pumbavu
Je alizipataje? Ziliingizwa kutoka nje au zilinunuliwa humu nchini? Anao mkataba wa ku supply magwanda ya jeshi?KWA UPUMBAVU WAKO MANJI YUKO SAWA KUMILIKI NGUO ZA JESHI NDANI YA NCHI HII NA ASIHOJIWE? VIBARAKA BADO MPO TU
Hebu tumpe nafasi manji naye aishi kama shetani wa kuzimu! Kaisulubu sana hii nchi na maskini wake...kuna watu wako keko kwa sababu yake! Ngoja naye aonje ladha ya upande wa piliSerikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu
Ataonyesha mahakamani hiyo mikataba yake na vibali vyote vya kuwa na nyara za serikali (Ooh sorry mihuri ya serikali/jeshi)Jiongeze wewe. Acha kukurupuka ovyoo. Manji ni supplier wa mavazi ya JWTZ kwa mkataba halali. Kumkamata supplier akiwa na materials anayopaswa kusupply ni upumbavu.
Serikali ina mbinu ya kuitaifisha IPTL kwasababu kuna matatizo ya umeme na hii kampuni wamiliki wake ni wa Tanzania. Baada ya kampuni ya Symbion kuondoa vifaa vyao serikali ina tatizo kubwa la umeme wa kutosha na hivyo wanajua IPTL ikisimamisha shughuli hakutakuwa na umeme wa kotosha na njia pekee na ya kirahisi ni kutaifisha kwa kisingizio cha kesi za uhaini na madai ya kodi. Wamewaogopa Symbion walionunua vifaa nya Richmond.... Vile vile Manji kabambikwa kesi ya uongo baada ya kesi ya madawa na uraia kukosa ushaidi hii ni kwa kisasi cha Magufuli kwa wafuasi wake Manji kufutia gari lake bendera ya CCM na sasa wanasingizia uhaini kwa kuiba nguo za jeshi wengine kwenye kesi ni wasindikizaji tu